beauty in me
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 161
- 134
Ndio mkuje ofisini tutajuana huko.Mbona mnakwepa kuweka % ya riba? Ukiiweka unitag
Weka riba hapaNdio mkuje ofisini tutajuana huko.
Mtakimbia, mimi Wabongo nawajua nyie.Weka riba hapa
Basi hatujiMtakimbia, mimi Wabongo nawajua nyie.
Siyo rahisi ila nahisi hawa riba ni 80% tuMbona mnakwepa kuweka % ya riba? Ukiiweka unitag
Basi hatuji., [emoji35][emoji35][emoji35]Mtakimbia, mimi Wabongo nawajua nyie.
Hawa jamaa washenzi unapewa 1 M unarejesha may be laki tatu kila mwezi kwa miezi mitano! Unapigwa riba 50%. Unakuwa unatajirisha watu!Riba ni siri
Kuna dada mmoja hapa alikuja kutangaza mkopo, hadi page ya nne kagoma kutaja kampuni na riba kakomaa mwenye shida aje pm.... Nikaenda pm nako hola kagoma kutaja ananiambia njoo whatsapp nikaona isiwe shida hii riba lazma ni asilimia elf mojaHawa jamaa washenzi unapewa 1 M unarejesha may be laki tatu kila mwezi kwa miezi mitano! Unapigwa riba 50%. Unakuwa unatajirisha watu!
Riba 50% kwa niniMsijali jamani. Karibuni ofisini kwetu. Riba ni 50% tu.
Ndio mkuje ofisini tutajuana huko.
Haya masihara sasaRiba 50% kwa nini
Kwanini hukuacha kuweka vigezo hapa ili tuvikute ofcn?Ndio mkuje ofisini tutajuana huko.
Kuna dada mmoja hapa alikuja kutangaza mkopo, hadi page ya nne kagoma kutaja kampuni na riba kakomaa mwenye shida aje pm.... Nikaenda pm nako hola kagoma kutaja ananiambia njoo whatsapp nikaona isiwe shida hii riba lazma ni asilimia elf moja