Mkopo wa milioni 7.5 unahitajika chap

Mkopo wa milioni 7.5 unahitajika chap

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,096
Reaction score
22,826
Kama title inavyojisemesha hapo juu, mkopo unahitajika haraka unatakiwa kutoka kwa mtu, watu au kikundi binafsi na sio bank maana masharti na urasimu ni mwingi.
 
Hajui kama wewe ni mteja, 😀😀😀😀😀
Wabongo wakiona vitu vinaenda huwa hawapendi wanataka mambo yawe magumu kidogo ha ha ha ha ndio wanaona raha
 
Huwa inakuwaje kwani mtu akitaka kiasi kama hiki cha pesa kwa upande wako unavyo onelea?!
Ni wajibu wako kumfanya mwenye hiyo pesa kukuzingatia.

Sasa sidhani kama kuna chochote ulichoonyesha hapo kumfanya Mtu kukutilia maanani.

Walau ungeonyesha kwa vipi ukipewa una uhakika wa kurudisha.
 
Ni wajibu wako kumfanya mwenye hiyo pesa kukuzingatia.

Sasa sidhani kama kuna chochote ulichoonyesha hapo kumfanya Mtu kukutilia maanani.

Walau ungeonyesha kwa vipi ukipewa una uhakika wa kurudisha.
Hiyo huwa tunaita mazungumzo baada ya habari.

Baada ya mkopeshaji kupatikana, then kinachofuata ni mazungumzo ya mezani ili kupeana vigezo na masharti (terms and conditions) na kukubaliana namna mkopo utarejeshwa, usalama wa makubaliano na commitment ya kila upande...

So wala usitie shaka kila kitu kitakwenda sawa muhusika akipatikana....
 
Uko wapi, tushawishi weka picha ya nyumba...
Dar.....!

Mmmmmhmn hiyo haitafaa sababu ni sehemu ya mkataba so siwezi anika all the details hapa....unless wewe ndie provider wa finance.... After all tutakutana private right?!
 
Okay, Sipo dar.....

Edit maelezo yako kwamba upo dar,
Eleza saiz ya nyumba (kiwanja ) usiweke picha for privacy then wengine huwa hawasomi comments.

Nyumba ni ya vyumba vinne vya kulala, sebule na jiko, ipo mjini kabisa!

Kiwanja chake kipo ndani ya fensi na ni cha 80 kwa 40
 
kama hujafanikisha, kuna dada maeneo ya mwenge huwa anakopesha naweza kukulink nae.
 
Back
Top Bottom