Mkopo wa laptop

be unique

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
2,374
2,273
Habari zenu wana JF,

Samahani kwa aliyepata kusikiliza tangazo vizuri kwa wale jamaa wanaokopesha laptop kwa wanachuo na wafanyakazi, tangazo huwa linaruka kupitia Clouds Fm, naomba anikumbushe jina la company hiyo nina shida nalo.
 
Jina silikumbuki Lakini sikiliza efm hasa kipindi cha ubaoni
Jengo lipo karibu na ofisi za ILO
 
Habari zenu wana JF,

Samahani kwa aliyepata kusikiliza tangazo vizuri kwa wale jamaa wanaokopesha laptop kwa wanachuo na wafanyakazi, tangazo huwa linaruka kupitia Clouds Fm, naomba anikumbushe jina la company hiyo nina shida nalo.
Vp mkuu ulifanikiwa?
 
Back
Top Bottom