Mkopo wa gari

Mkopo wa gari

timu bamia

Senior Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
154
Reaction score
22
habari zenu wana jf ninaomba msaada kwa anayefahamu kampuni inayotoa mikopo ya magari nina weza lipa nusu ya bei.
 
Nenda CMC automobiles pale karibu na maktaba complex kama upo Dar, wanakopesha magari
 
Vipi kama likiharibika kabla hujamaliza mkopo utafanyaje!?
 
Back
Top Bottom