Mkopo wa Gari

Mkopo wa Gari

Mtendaji wa kaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
334
Reaction score
60
Ni mfanyakazi analipwa laki sita na ushee kwa mwezi wizara ya TAMISEMI anaomba kama kuna watu wanakopesha magari kwa wafanyakazi malipo ni makato kwa mwezi kwenye mshahara! naomba majibu na ufafanuzi mwingine kama upo
 
Dah! Hata mimi nahitaji toyota carry ngojea waje wajuzi
 
Nenda Conti Cars - Opposite na Kazi House. You pay 50-60% of the car price and the rest you pay kwa installment.
 
Kwa mshaara wa laki sita na usheee ukope gari? deni la mkopo laki 2 na nusu hiyo laki 4 unayobaki nayo unaweza kweli kuweka mafuta kwenye gari na pia kui-run family? think twice usijelaza familia njaa.
 
kaka huyu ni afisa wa serikali jaman lazma atakua ana njia zingine za uchumi so msimkadirie tu kuwa anaishi kwa salary mwingine ana biashara zake. Idea yake ya kununua gari bado ni nzuru japo hajasema anataka kununua gari ya aina gani pengine pickup ya biashara je
 
Kama ana biashara nyingine basi kununua gari sio issue ajichange tu anunue lkn c kwa kutegemea mshaara.
 
Back
Top Bottom