Sawa mkuu,Na vp kuhusu kutoa namba ya bank?!
Zikiingia tuuu kama mshahara au kakutumia mtu basi zinaweza kuchukuliwa juu kwa juuOk.sawa ,ila kwenye account yangu hamna chochote ,so hata nikiwapatia wataambulia patupu
acha ujingaaa......ikiwa haina kitu wanakueka pending.....nawewe cku ukiweka hela tu ndo utajua tofauti kati ya sifuri na OOOOOk.sawa ,ila kwenye account yangu hamna chochote ,so hata nikiwapatia wataambulia patupu
Siku nyingine utakua huitumii hiyo account?Ok.sawa ,ila kwenye account yangu hamna chochote ,so hata nikiwapatia wataambulia patupu