Mkopo wa fedha.

....chalii skia,riba rahisi zaidi mjini ni 30%;hapo ni pamoja na dhamana!...piga hesabu kwa miezi miwili ungetakiwa kulipa kiasi gani,halafu unapewa 'ofa' ya laki 2 kwa laki 3 still unadengua!....elimu haijakukomboa kaaabisa;unataka uhongwe,ama?
..na ajabu watu walikuwa radhi kujitolea kukuchangia kile kidogo walicho nacho kiroho safi,eti unaringa usionekane una shida sana,unakomaa na mkopo kwa terms zako:UMEROGWA???
.....attacks zako nyingine juu yangu ni za kifala tu,hazinishughulishi!
 
Wewe ni kichaa kweli na huna akili,hebu angalia vizuri mimi niliomba mkopo wa 200,000 na kurudisha 280,000 ni asilimia ngapi.

Mimi najua ni asilimia za mikopo na niliomba kwa mwenye kuweza kutoa kwa asilimia hizo.

Wewe kubali ni kichaa kwani nani amekulazimisha kunipa mkopo na kuniletea ujinga wako kwenye post yangu.

Unafikiri kwa kutumia makalio.
Empty headed.
 
.....teh hee hee..,una hasira!??
.unamkasirikia nani sasa;
.saga chupa ubwie basi!
 
.....teh hee hee..,una hasira!??
.unamkasirikia nani sasa;
.saga chupa ubwie basi!
Mchawi mkubwa wewe,ipo siku utakumbuka ujinga wako,yaani umeamua kuonyesha jinsi ulivyo na akili finyu kwenye post yangu.

Jichunguze kabla hujafanywa mambo mabaya na hao unaoishi nao hapo mtaani kwako.

Tatizo hatufahamiani inawezekana unaleta ujinga wako hapa kumbe huna kitu.

Sielewi kwanini ulianza kunichokoza na kuonyesha kuwa wewe ni kichaa wa kiwango cha juu kabisa.

Empty vessels makes most noise.
Wewe ni mwanaume asiyejitambua na inawezekana unasubiri chakula nyumbani ndio maana unaandika ujinga wako hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…