Mkopo wa fedha.

Pole sana mkuu, kwa matatizo, binafsi sina uwezo ningekusaidia, Ila nakuombea waje waugwana wenye uwezo wa kukusaidia

Mungu amjalie kuimarika kw afya mpendwa wetu
 
Asante sana.
 
vyeti ????????????? my foot!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Ndani kuna Sofa,Radio,Tv,Kitanda,Godoro,mtungi wa gesi,vyombo,king'amuzi,nguo,vyeti nk.

Unafikiri ni kitu gani kikitolewa hakitaathiri maisha ya kila siku.
 
mshana jr wakuda si wamegoma kwenda kwa Rasta Nyoka,yale mawe mawili saidia bandugu;
.na Mungu aonae sirini atakujazi!
 
Nadhani hili ni suala la KIUTU zaidi, mtu kutoa vyeti vyake kwa laki 2 ujue ana shida. Mtu kuanza kusema atoae dhamana ya vitu vya ndani ni kweli ILA kiutu si njema, kwanini usimwamini ktk hilo alilosema, nadhani mwenye nayo na akawa na moyo wa kutoa basi atakutana na huyu mtu na kumsaidia....
 
Ndani kuna Sofa,Radio,Tv,Kitanda,Godoro,mtungi wa gesi,vyombo,king'amuzi,nguo,vyeti nk.

Unafikiri ni kitu gani kikitolewa hakitaathiri maisha ya kila siku.
Kwa sababu upo kwenye transition stage, kama una hivyo vitu vingine usiweke dhamana ya vyeti vyako kwa mkopo wa laki mbili, unaweza kuja juta baadae!
Wewe uza hiyo tv na sabufa, au uviweke dhamana upate hiyo hela...
 
Tatizo ni mteja wa kununua pia vitu vya ndani ni mhimu.
 
Asante
 
Sijapata msaada wana jamii?
 
Tatizo ni mteja wa kununua pia vitu vya ndani ni mhimu.
kumbe samani ni muhimu kuliko vyeti ulivi sotea miaka 10+++?

au kwavile ushavi scaning vyeti ?

nakushauri weka rehani hata godoro na kitanda kuliko vyeti tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…