Mkopo wa Benki Bila "10%" upo?

Mkopo wa Benki Bila "10%" upo?

Maswala

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
560
Reaction score
225
Kwa uzoefu wangu, ni vigumu kupata mkopo bila kutoa rushwa hata kama vielelezo vyako vimekamili.

Mimi mteja ktk bank za CRBD, ABC, Access, EFC, na NBC! Na nimechukua mikopo hupo mara kadhaa! Lakini ukienda kwa unyoofu, mkopo utachkua muda mrefu, tena hutapewa kiasi ukitakacho. Ila ukitoa kitu kidogo (TKK) ukicheleweshwa ni siku 3 tu tangu umeomba mkopo!

Ndio maana nawashangaa sana maofisa mikopo wa benki nyingi, mishahara yao midogo, lakini wanafanya mambo makubwa, ambayo hayalingani na vipato vyao.

Kuna maafisa katika Benki moja ya Biasha tawi la Tegeta, ambao hawezi kutoa mkopo hadi umekubaliana nao utawakatia kiasi gani! Hata mtu anayekopa kiasi kidogo tu lazima aombwe TKK, la sivyo hapati!

Jamani wahusika tusaidieni!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Access ukimripoti hana kazi au unakuwa unaogopa mkuu hizo bank zingine zijui ila siyo lazima kutoa.sema usipotoa wanakununia kabisa
 
unajua kuna kutoa rushwa kwa lazima(umeombwa) au kwa hiyari wala hujaombwa, nilikopa benki ya wanawake wala sikutoa rushwa ila tu nilikuwa namtoa nauli/lunch yule ofisa (nakiri sikuombwa) , ila sikupata tabu kupata mkopo wangu ndani ya siku 10 niliupata.
 
wale wapi umeshasema wana mishahara midogo,hata Ikulu 10%
 
Kwa uzoefu wangu, ni vigumu kupata mkopo bila kutoa rushwa hata kama vielelezo vyako vimekamili.

Mimi mteja ktk bank za CRBD, ABC, Access, EFC, na NBC! Na nimechukua mikopo hupo mara kadhaa! Lakini ukienda kwa unyoofu, mkopo utachkua muda mrefu, tena hutapewa kiasi ukitakacho. Ila ukitoa kitu kidogo (TKK) ukicheleweshwa ni siku 3 tu tangu umeomba mkopo!

Ndio maana nawashangaa sana maofisa mikopo wa benki nyingi, mishahara yao midogo, lakini wanafanya mambo makubwa, ambayo hayalingani na vipato vyao.

Kuna maafisa katika Benki moja ya Biasha tawi la Tegeta, ambao hawezi kutoa mkopo hadi umekubaliana nao utawakatia kiasi gani! Hata mtu anayekopa kiasi kidogo tu lazima aombwe TKK, la sivyo hapati!

Jamani wahusika tusaidieni!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hama hiyo benki haraka sana.
Mimi kuna benki walitaka 10% nikawakatalia kwa logic kuwa nikiwapa hiyo pesa hawanisaidii kulipa deni la mkopo, ukiacha mbali kuwa mkopo wenyewe unaulipa kwa riba.
Hawakunielewa, walipouchelewesha nikawaambia nahama benki immediately!
Kwa vile akaunti yangu hsijambo, WAO sasa ndo wakanitafadhalisha kuchukua huo mkopo.

Mkuu wafanyakazi wa benki wasikuibie mchana kweupe.
 
mkuu CRDB mbona hawana shida mi niteja wao wa sijawahi sumbuliwa. pia Equity bank pale posta hawana shida, unapewa bila kutoa sent 5
 
pia mkuu hao EFC ulipewa mkopo? maana kuna sehemu wamelizwa na hao watu hadi basi, wamefungulishwa acc kwa 30000 then wakajazishwa form za mkopo alafu kimyaaaaaa.
Ajabu mtu anakujazisha form yamkopo na kukufungulia acc kabla hajaja kutathimin biashara huu si utapeli
 
Ni kweli, EFC hata na wao matapeli hivyo hivyo! Cha kushangaza serikali yetu iko wapi isiwachukulie hatua?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
unajua kuna kutoa rushwa kwa lazima(umeombwa) au kwa hiyari wala hujaombwa, nilikopa benki ya wanawake wala sikutoa rushwa ila tu nilikuwa namtoa nauli/lunch yule ofisa (nakiri sikuombwa) , ila sikupata tabu kupata mkopo wangu ndani ya siku 10 niliupata.

Mkuu rushwa ina sura nyingi, hata hizo lunch, nauli ni aina mojawapo! Rushwa si lazima mtu aombe, anapaswa kuikataa! Ndio maana kama mimi sitatoa lunch au nauli ujue nitaendelea kufikiriwa hadi keshokutwa!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ni kweli, EFC hata na wao matapeli hivyo hivyo! Cha kushangaza serikali yetu iko wapi isiwachukulie hatua?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

sasa unataka serikali iote kwamba unapoenda kuchukua mkopo unatoa rushwa?
Kwanini usianze wewe kukataa kutoa hiyo rushwa kabla hujairushia serikali malalamiko
 
unajua kuna kutoa rushwa kwa lazima(umeombwa) au kwa hiyari wala hujaombwa, nilikopa benki ya wanawake wala sikutoa rushwa ila tu nilikuwa namtoa nauli/lunch yule ofisa (nakiri sikuombwa) , ila sikupata tabu kupata mkopo wangu ndani ya siku 10 niliupata.
Wewe unanichongea,kwani Lunch nilikuomba?
Utajua mara ya pili utanikuta utaona cha moto,leo nimepigiwa simu na boss kesho kuna kikao kwa ajili yako
 
nilishakataa kutoa rushwa ktk mAisha yangu niko tayar kwa lolote sio rushwa pale barclays waliniomba sana rushwa nikagoma kutoa na mkopo nilipata.kuna jamaa akanipigia eti unaniachaje sasa nikamwambia nisubiri nikaondoka zangu huwa mimi sitoagi kbsakbsa heri nihamie pengine.....wakati natafta passport ndio nilikoma ilinichukua miaka 2 kuipata ila nikaipata bila kutoa rushwa nilikuwa mbeya nikashindwa walinidai rushwa kila nikienda nikahamia dar yaleyale lakini mungu mkubwa baada ya nend rudi za kutosha wakaona kweli nimekomaa wala sichoki wakona aibu wakanipatia passport tabia ya kutoa rushwa ni mbaya sana ma inatia umasikini sana bdae mtu anaona rushwa ni haki yake wakt si ivyo.
 
sasa unataka serikali iote kwamba unapoenda kuchukua mkopo unatoa rushwa?
Kwanini usianze wewe kukataa kutoa hiyo rushwa kabla hujairushia serikali malalamiko

Nimeacha na ndio maana najieleza hapa ili wote tupige vita rushwa! Lakini pia na selikali kupitia benki kuu watafute namna ya kudhiti hali hii.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
nilishakataa kutoa rushwa ktk mAisha yangu niko tayar kwa lolote sio rushwa pale barclays waliniomba sana rushwa nikagoma kutoa na mkopo nilipata.kuna jamaa akanipigia eti unaniachaje sasa nikamwambia nisubiri nikaondoka zangu huwa mimi sitoagi kbsakbsa heri nihamie pengine.....wakati natafta passport ndio nilikoma ilinichukua miaka 2 kuipata ila nikaipata bila kutoa rushwa nilikuwa mbeya nikashindwa walinidai rushwa kila nikienda nikahamia dar yaleyale lakini mungu mkubwa baada ya nend rudi za kutosha wakaona kweli nimekomaa wala sichoki wakona aibu wakanipatia passport tabia ya kutoa rushwa ni mbaya sana ma inatia umasikini sana bdae mtu anaona rushwa ni haki yake wakt si ivyo.

Pia muda ulioupoteza miaka miwili uliutumia kufuatilia passport unakwamisha mambo mengi kama unakuwa na ratiba maalumu. Hali kadhalika na mkopo pia, kama una malengo ya haraka, wakikuchelewesha siku chache unakuta na malengo yameharibika pia.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hama hiyo benki haraka sana.
Mimi kuna benki walitaka 10% nikawakatalia kwa logic kuwa nikiwapa hiyo pesa hawanisaidii kulipa deni la mkopo, ukiacha mbali kuwa mkopo wenyewe unaulipa kwa riba.
Hawakunielewa, walipouchelewesha nikawaambia nahama benki immediately!
Kwa vile akaunti yangu hsijambo, WAO sasa ndo wakanitafadhalisha kuchukua huo mkopo.

Mkuu wafanyakazi wa benki wasikuibie mchana kweupe.

Mkuu ni kweli, ila utalipa gharama ya muda (ucheleweshaji)!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
nilishakataa kutoa rushwa ktk mAisha yangu niko tayar kwa lolote sio rushwa pale barclays waliniomba sana rushwa nikagoma kutoa na mkopo nilipata.kuna jamaa akanipigia eti unaniachaje sasa nikamwambia nisubiri nikaondoka zangu huwa mimi sitoagi kbsakbsa heri nihamie pengine.....wakati natafta passport ndio nilikoma ilinichukua miaka 2 kuipata ila nikaipata bila kutoa rushwa nilikuwa mbeya nikashindwa walinidai rushwa kila nikienda nikahamia dar yaleyale lakini mungu mkubwa baada ya nend rudi za kutosha wakaona kweli nimekomaa wala sichoki wakona aibu wakanipatia passport tabia ya kutoa rushwa ni mbaya sana ma inatia umasikini sana bdae mtu anaona rushwa ni haki yake wakt si ivyo.
mkuu umetisha passport umeipata baada ya miaka miwili ??? wakati watu wanaipata same day, teh teh teh
 
Shguli kweli kweli!

Back
Top Bottom