mkopo wa 2m unahitajika haraka

mkopo wa 2m unahitajika haraka

manka2

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
17
Reaction score
4
wana Jf nahitaji mkopo wa haraka wa 2m nitarudisha na riba. kama kuna anayefahamu maeneo naweza pata nitashukuru . asante
 
Nenda benki maana riba za mtaani hutaziweza. Kama unafanya biashara simple nenda akiba benki, mkombozi, access nk.
wana Jf nahitaji mkopo wa haraka wa 2m nitarudisha na riba. kama kuna anayefahamu maeneo naweza pata nitashukuru . asante
 
Ninaweza kukupa. Lakini ulete gari nibaki nalo na sio kadi. Ni PM.

Pia kuna sehemu kama mbili hivi naweza kukuelekeza kwa mkopo wa haraka.

Kuna taasisi moja ipo pale mikocheni, unaweza ukapata mshiko haraka. Ni PM nikupatie namba, huyu ni rafiki yangu.

Pia pale karibu na Brajec - Survey kuna mtu pia anafanya hii biashara. lakini napo gari utaiacha na wala sio kadi.
 
Back
Top Bottom