Akupigie iweje,au umetumwa umkamatishwe nini?Rosita nipigie kwenye 0767482177
Sasa kama lengo ilikuwa kununua plot ambayo imeishauzwa.wadau habari za jioni
nimeomba mkopo nmb tawi moja la mkoa wa kilimanjaro..nikapewa form na kukamilisha taratibu zote ndani ya siku mbili na kurudisha form tar 15/Nov na yule loan officer aliniambia huwa inachukua siku mbili za kazi mkopo kuingia kwenye account lakini mpk ninavyoongea haujaingia na mshahara nimeanza kukatwa na nilimfuata kuongea nae kama niambia kuna official issues inaendelea so unaweza ingia na mshahara wangu wa december...
I was so disappointed coz lengo la kuapply mkopo ilikuwa ni kununua plot ambayo nilipata kwa bei chee na imeshanunuliwa na kuongea capital ya biashara yangu
naomba wadau mnishauri najua nmb wengine mpo huku kuwa ni kawaida mkopo kuchukua muda mrefu hivyo au kuna kitu nafichwa ...
Sasa kama lengo ilikuwa kununua plot ambayo imeishauzwa.
Basi ni bora uurudishe mkopo,maana lazima utautumia katika matumizi ambayo hukuyatarajia.
Na asikudanganye mtu,sie tuliokopa Bank tunajua balaa lake,utaona pesa nyingi na tamu mwanzo,itakapofikia kipindi cha kati cha marejesho hapo lazima ukapime presha.
Ni bora pale ulipokuwa na malengo yako ya kununua plot,pale ingekuwa poa sana,maana unanunua Collateral ambayo kama ukikwama unaweza kukopa Bank nyingine na kuhamisha deni.
Lakini hii inashangaza sana,yaani mtu unakatwa mshahara bila kupewa mkopo,sasa si kuongezeana umaskini tu huku?
wadau habari za jioni

hata kama nikighairi tayari nakatwa kwenye lowson coz nimeshaingizwa.....na nawepa pata tena kiwanja mkuu but kwa nini wanicheleweshe?
kukopa na kununua plot ni uzuzu . Kopa kwa ajili ya biashara na sio
vinginevyo
Inatakiwa kuheshimu malengo ya mwenzako.....
. Ndo maana kuna mikopo mbalimbali na sio mikopo ya biashara tu.
Hapo unaweza kukuta loan officer kabeba fungu halafu anazungusha kwanza kwenye biashara yake baadae anakuingizia!!Tanzania yetu ina makandokando mengi..........NENDA KWA BANK MANAGER UTAPATA MAJIBU MAZURI,BEBA DOCUMENTS ZOTE ZINAZOWEZA KUHITAJIKA
Acha ubahili, toa rushwa kesho tu unapata mkopo wako