Kalemataka
Member
- Aug 19, 2017
- 48
- 10
Wale Wote wanaotarajia kuomba mkopo ili kupata ufathili wa masomo katika ngazi ya diploma uzi huu ni special Kwa ajili yako . Uliza swali ujibiwe
Seriously? ??Diploma ni nini?
Karibu zote ndugu... jaribu ku google utaonaDiploma gani inapatiwa mkopo..??
Jukwaa ni Lake karibuKuna dogo Anataka kusoma diploma ya clinical medicine
Tembelea heslb link ipoWeka link ya bodi ilikupata huo mkopo kwa watu wa diploma
Afya kilimo ufugaji na nyingineZo nyingi (heslb) Tembeleahuo mkopo kwa coz zipi na ufaulu upi
Unacheka?
Kombora zishadropiwa kuwa makiningoja mm nianze jifua kuutafuta huo mkopo maana walisema Kwa diploma ndo wana set kombora zao zikiwa tayari watazidropisha
ngoja nikapekenyue mzee niwe mwanafunzi wa kwanza kuomba chuoni kwetuKombora zishadropiwa kuwa makini
Duu maamuzi ni yakohisije kuwa ndo njia ya serikali kukusanya kodi alafu mkopo wa kakosa
itapendezangoja nikapekenyue mzee niwe mwanafunzi wa kwanza kuomba chuoni kwetu