Mkopo ujue bahati ila kwa walioxoma dip utakuta kwenye wanachuo 3000 wanachuo 20 ndo wanaweza pata,na wao walitumia vyeti vya form six na vya kuriseat kwa maana kuwa chet chake kinaonyesha form six amemaliza 2016 au 2015 hapo lazima apate wanajua alikuwa hana ajira.
Na kwa miaka ya nyuma wote walikuwa wanapata diploma ila xaxa dip no boom,kama mim muongo tutakuta vyuo kwan mda ushafika na wengi huwa wanaacha chuo baada ya kukosa mkopo kwakuwa hawajiandai kabla na hasa vyuo vya private