Mkopo kwa first year 2015/2016

Mkopo kwa first year 2015/2016

Kuna watu wanasambaza sms kuwa majina yametoka,je ni taarifa za kweli?
 
Sasa wewe mwanachuo mtarajiwa unaweza kuingia Jamii Forum kuulizia tetesi lakini unashindwa kuingia google kuitafuta website ya Loan Board kuhakikisha

Pathetic
 
Mimi bado nazidi kusisitiza kwamba hizi habari si za kweli maana udahili haujaisha mbona? au kutakuwa na 1st,2nd na 3rd round ya majina ya wataopata mkopo? kama ni hvyo huenda ikawa kweli maana sisi ni kama kichwa cha mwendawazimu ,miaka ye2 always inakuwa ya majaribio tena UNIQUE.
 
website ya board ndio inatoa kila kitu usiishi kwa kusikilizaa whatsapp kila ktu ..kua msomi
 
msipende kuishi kwa whatsap fuatilia bodi ya mikopo website pale utapata taarifa za kweli
kuhusu mikopo bado haijatoka msihangaishwe na taarifa za uongo za whatsap
 
naomba mnijuze jinsi ya kuingia kwenye profile yang kweny bodi ya mikopo
 
naomba mnijuze jinsi ya kuingia kwenye profile yang kweny bodi ya mikopo
Ingia http://www.heslb.go.tzfungua sehemu imeandikwa OLAS(ONLINE LOAN APPLICATION SYSTEM)
then nenda sehemu imeandikwa LOG IN ,click then ingiza index number ya O LEVEL na mwaka wa kumaliza(mfano S0656.0009.2011) na password yako..then click log in.
 
Kuna watu wanapenda "cheap popularity " mfano mzr ni huyu alieanzisha huu Uzi . Badilika!!!!!
 
Back
Top Bottom