BOT wangekuwa makini huu wizi usingeendelea lakini sasa wapo pamoja, Xmasi wakipelekewa zawadi wanawaachia. Katika Banking kuna kitu kinaitwa SPREAD ama kitu kama hicho ambacho ni Tofauti kati ya RIBA kwenye mkopo na riba unayowapa watu wanaoweka pesa ktk benki yako. Inatakiwa iwe ndogo yaani iwe single digit. Hapa BONGO ni BALAA waweza kukuta RIBA kwenye Mkopo ni zaidi ya mara kumi ya riba wanayotoa ukiweka pesa zako kwa ujumla ni balaa. Halafu mwisho wa mwaka wanatangaza faida asilimia 34% wananunua mikate miwili na unga kilo 100 wanaendakutoa msaada katika kituo cha watoto yatima eti wanarejesha kwa jamiiKukopa ktk ma benki ya tanzania labda uwe unafanya biashara ya bangi,riba zake kubwa sana!maneno ya nyerere hayo
Tukope kwenye saccos jamani ama na kwenyewe kuna matatizo pia,,,?
Hiyo 21% ni interest kwa mwaka na kwa kuwa utakaa na hela zao kwa miaka 4 hiyo interest ingekuwa 21%x4= 84%, lakini kwa vile utakuwa unalipa kila mwaka hiyo rate ya 21% itakuwa inapungua kila mwaka kutegemea na ulivyolipa lakini commulative itakuwa inaongezeka at a decreasing rate (yaani inaongezeka kwa kupungua) ndiyo maana after 4 years hautakuwa umelipa 84% lakini uki calculate utakuta interest rate ni zaidi ya mara mbili ya ile waliokuandikia kwenye makaratasi, hiyo ndiyo inaitwa effective interest rate.
Ukitaka kujua effective interest rate unayolipa wewe chukua tu total interest amount gawanya kwa loan amount, lakini kumbuka the higher the repayment period, the higher the effective interest rate and hence higher interest amount. Mfano kama mkopo wako in wa mwaka mmoja utalipa interest hiyo hiyo waliyokuandikia kwenye makaratasi yao, hali inakuwa mbaya pale unapotaka kulipa kwa muda mrefu ambayo ndiyo benki wanapenda kwa kuwa watapata interest kubwa.
Ushauri: Jitahidi kuchukua short term loan kuliko long term loan.
Salaam Wadau,
Nilichukua mkopo kutoka Benki moja hapa nchini, niliambiwakuwa riba ni asilimia 21 (21%) ya mkopo nitakaochukua na nitarejesha kwa mudawa miezi 48. Baada ya kupiga hesabu zangu nikakubaliana nao kisha nikachukua mkopo huo. Ila baada ya kuuchukua huo mkopo nikapewa schedule ya marejesho cha kushangaza ile schedule inaonesha riba ni karibu asilimia 43 (43%).
Sasa nauliza ile riba huwa inapanda kila mwaka au inabakikuwa constant mpaka muda wa mkopo uishe?
Ahsanteni
Mikopo imesaidia watu wengi. la muhimu ni kujua na kutafuta washauri wataalam wa maswala ya Financing iwapo huna utaalamu wa kutambua jinsi ya mkopo unavyochukuliwa na kurejeshwa kwa riba bila kuleta hatari ya kupoteza mali zako.Dah!ss cjui tukakope wapi?
Mikopo imesaidia watu wengi. la muhimu ni kujua na kutafuta washauri wataalam wa maswala ya Financing iwapo huna utaalamu wa kutambua jinsi ya mkopo unavyochukuliwa na kurejeshwa kwa riba bila kuleta hatari ya kupoteza mali zako.
Mkopo wowote na riba yake inategemea jinsi ulivyokuwa structured.
Mkopo wote umeshakuwa dscounted to present value kwa kutumia rate mnayokubaliana. na si kweli interest rate iongezeke wa kati wa kuservice hiyo loan huko kutakuwa ni kuvunja makubaliano ya mkopo unless kamakuna kifungu ktk mkataba wa kuongeza hiyo interest rate.
Kama huelewi mambo haya vizuri yanaleta shida na pengine kupelekea kufirisiwa au usiweze fanikisha lengo lako.
Ni vyema kwa mtoa mada arudi kule kwenye Benki yake na kuona jinsi gani ataweza kurekebisha structure ya hiyo loan.
Kwa siku hizi ziko Benki zingine zinaweza kununua mkopo huo( yaani wanairejeshea Benki iliyokupa mkopo na kukupa mkopo mwingine kwa masharti na makubaliano mapya.
Financial management consultants wakusaidie.