Mkopo elimu ya juu

KUKU_UFUGAJI

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
836
1,714
Hivi ni kweli kwa wale wanaodaiwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu, hawawezi kwenda kusoma nje ya nchi mfano kuchukua masters mpaka wamalize kurudisha mkopo wao wa elimu ya juu au ?
 
Back
Top Bottom