neema prosper
Senior Member
- Nov 8, 2010
- 146
- 154
NMB wanatoa 16 mara gross salary, je CRDB wao mkopo ni gross salary mara ngapi, nisaidieni jibu.
gross au net (ina make sense)NMB wanatoa 16 mara gross salary, je CRDB wao mkopo ni gross salary mara ngapi, nisaidieni jibu.
Hata miezi 3 na zaidi ingawa Kimei anatangaza kuwa ni wikiWadau,
Kuna binamu yangu (mtumishi wa Serikali) amechukua mkopo CRDB huko Ruvuma, lakini cha kushangaza hadi wiki inakatika hajapewa huo mkopo. Je, kwa wale waliokwishachukua CRDB huwa inachukua siku ngapi kuupata?