Ndiyo, inawezekana kutumia Fixed Deposit (FD) kama dhamana (collateral) kupata mkopo kutoka benki. Wao wanaita Loan Against Fixed Deposit (LAFD).
Ila kiasi cha mkopo na riba utakayolipa kwa benki ni vitu vya kuzingatia, kwani riba unayopata kwenye FD mara nyingi ni ndogo kuliko riba ya mkopo, kwa hiyo hutaweza kulipa mkopo wote kwa kutumia riba pekee.