costa doncway
Member
- Oct 5, 2017
- 65
- 17
Sasa wanasubiri 3rd batch wakati muda wa kufungua chuo umefika? Zimebaki fiku tatu tu za kazi kabla ya vyuo kufungua. Sasa MTU ukàmcheleweshea taarifa hii muhimu mwisho siku unamtosa anakosa kabisa muda wa kutafuta plan B!Baodo mzee ndo wanafanya mchakato wanasubiri third round ya chuo iishe kabisa ili na wao wakate mzizi wa fitina
Amen.Ulinena katika kitabu chako kitukufu ya kuwa ''Niombeni nami nitawajibuni'' basi maombi yetu na uyatwae katika kiganja cha mkono wako wa kuume, ututazame kwa jicho la huruma....kwani aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye hufunguliwa,YOOOOTE HAYO HUTIMIA KWA REHMA ZAKO EWE MWINGI WA UTUKUFU NA UKALIMU.AAAMEEEEN
AMEN tutapata tu mkopoUlinena katika kitabu chako kitukufu ya kuwa ''Niombeni nami nitawajibuni'' basi maombi yetu na uyatwae katika kiganja cha mkono wako wa kuume, ututazame kwa jicho la huruma....kwani aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye hufunguliwa,YOOOOTE HAYO HUTIMIA KWA REHMA ZAKO EWE MWINGI WA UTUKUFU NA UKALIMU.AAAMEEEEN
hyo umenena kwel mkuukwa nn cc wa afrika huwa tnapenda taabu tnazozpitia n wengne wazpate kwa nn tna karr kwamba mkopo watakaoomba hawawez pata wote cc wanafnz w chuo ndo viongoz wa baadae m cna ndoto z kuwa kiongoz wala kfanya kaz serkaln ila ntafrh cku nkcikia wote walioomba mkopo wamepata kwan wote waliomba wanauhtaj huo mkopo kwa hyo km wewe umekosa leo ukja kuwa kiongoz ucje ukaxema mbon hata mm nlkosa kpnd nasoma knacho takiwa shida ulizopata wewe wengne waszpate ndo kiongoz bora n maon yangu tu asanten