Njoo pm tuongee na unaongeza sh ngap kama riba yangu after iyo one week funguka fast kisha nichek whatsap tumalize biashara jombaaanahtaji mkopo wa haraka wa 150k naweka bond pc ya toshiba i core 7 marejesho one week, tafadhali mwenye msaada tuwasiliane
Kama wiki si usubniri tu, ya nini kukopa?[/QUOTE]Asante, ila natafuta mkopo sio ushauri mkuu[QUOTwikosesrex, post: 31557197, member: 379967"]
nahtaji mkopo wa haraka wa 150k naweka bond pc ya toshiba i core 7 marejesho one week, tafadhali mwenye msaada tuwasiliane
njoo nikukopeshe upo wap?nahtaji mkopo wa haraka wa 150k naweka bond pc ya toshiba i core 7 marejesho one week, tafadhali mwenye msaada tuwasiliane
Asante, ila natafuta mkopo sio ushauri mkuu[/QUOTE]njoo upewe mkopo kijanaKama wiki si usubniri tu, ya nini kukopa?
kama kweli unashda na hii 150k njoo acha hyo SIMU plus LAPTOP nikupe hyo 150k ila kwa riba ya 20kIpo simu kama utaki laptop, na ata wiki yenyewe inaweza isiishe nishaludisha
ya wizi inauzwa hata Elfu 50 kwani una hasara gani?Alafu i core 7 gan iuzwe 150k mkuu, vtu vyngne sio ata vya kuumiza kichwa, ni pesa tu inahitajika kwa haraka
simu aina gani?Ipo simu kama utaki laptop, na ata wiki yenyewe inaweza isiishe nishaludisha
Riba 15% kama uko tayarinahtaji mkopo wa haraka wa 150k naweka bond pc ya toshiba i core 7 marejesho one week, tafadhali mwenye msaada tuwasiliane
Njoo pm tufanye mazungumzo mzee kama uko serious na unahitaji mkopo sawa mzee njoo pm tufanye mamboIpo simu kama utaki laptop, na ata wiki yenyewe inaweza isiishe nishaludisha