kaliwonela
Member
- Mar 14, 2018
- 18
- 17
Msaada natafuta mkono wa piston engine ya 1TR-FE. kama kuna mtu anao. gari ni hiace. Model ni TC-TRH122k-ERMDK
Asante
Asante
Nop hiyo engine ni majanga. Niuzie huo mkono tuSi nikuuzie tu engine nzima
Mkuu kma uko dar ungejaribu kuhangaika tu maduka ya gerezani unaweza ukapta.Msaada natafuta mkono wa piston engine ya 1TR-FE. kama kuna mtu anao. gari ni hiace. Model ni TC-TRH122k-ERMDK
Asante