Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Kupita katika maisha Magumu,ni fursa ya kuuona mkono wa Mungu,kwa hiyo tabu zote unazo zipata mshukuru Mungu kwa kila jambo,kwa sababu kushukuru ni alama ya imani,ni alama inayo onyesha kuwa unaye muomba atakusaidia,kumbuka uso wa Mungu haujifichi unapo mwita kwa imani.tafakari hilo usiku mwema!