CompaQ JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 281 Reaction score 134 May 21, 2013 #1 huu mkongo wa taifa wa mawasiliano je umeanza kutumika? Kama ndio kuna tofauti gan na mwanzo kabla haujaanza kutumika! Wanaofaham watujuze!!
huu mkongo wa taifa wa mawasiliano je umeanza kutumika? Kama ndio kuna tofauti gan na mwanzo kabla haujaanza kutumika! Wanaofaham watujuze!!
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,475 Reaction score 21,046 May 21, 2013 #2 Mimi kwa uzoefu wangu wa miaka hii ya kuishi sijaona gharama(price) zina drop hata kama supply imeongezeka!! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mimi kwa uzoefu wangu wa miaka hii ya kuishi sijaona gharama(price) zina drop hata kama supply imeongezeka!! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kalendi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 1,385 Reaction score 642 May 21, 2013 #3 Hata supply yenyewe haileweki bali ni wizi mtupu.
Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 May 21, 2013 #4 umeanza plan ya serikali ni kujenga ring topology kuzunguka nchi nzima sina uhakika kama wamemaliza installation,ila construction yake inaendelea.
umeanza plan ya serikali ni kujenga ring topology kuzunguka nchi nzima sina uhakika kama wamemaliza installation,ila construction yake inaendelea.
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 May 22, 2013 #5 Swali Zuri Kweli. Nami Nashangaa kwani huwezi amini katika zama hizi za Uwazi TTCL Broadband(wired) wanauza 2GB kwa Tsh30,000. Huu Ni wizi wa Mchana. ipi sasa faida ya huo Mkonga?
Swali Zuri Kweli. Nami Nashangaa kwani huwezi amini katika zama hizi za Uwazi TTCL Broadband(wired) wanauza 2GB kwa Tsh30,000. Huu Ni wizi wa Mchana. ipi sasa faida ya huo Mkonga?