Katika saloon moja katikati ya mji, kinyozi wa ki Tz akiwa na mteja wake toka DRC alichafukwa na tumbo ghafla, si ndo ushuzi ukamponyoka sasa kuzuga yule kinyozi akamhoji mteja wake: Waonaje hali ya hewa ya Tz?
Mteja wa kikongo; toka nakuya ilikua bye, ila ilivobalika sasa ikiendelela kwa dakika tano naapa itanyesha mvua ya mavi!
Toka nakuya ilikuwa bien, ila na sasa bamebadilika na bakiendelea hivi badakika batano batanyesha bavua bamavi!Katika saloon moja katikati ya mji, kinyozi wa ki Tz akiwa na mteja wake toka DRC alichafukwa na tumbo ghafla, si ndo ushuzi ukamponyoka sasa kuzuga yule kinyozi akamhoji mteja wake: Waonaje hali ya hewa ya Tz?
Mteja wa kikongo; toka nakuya ilikua bye, ila ilivobalika sasa ikiendelela kwa dakika tano naapa itanyesha mvua ya mavi!
Alafu ndo mpo zaidi ya watatu mnaanza hisiana kwa maumbo na ukavu wa sura!