Mkomoe mwanga

Siku zote mtu anayewaza uchawi, huwa ana laana na wengi wao wanaounga mkono hii hoja ni wanathibitisha namna laana inavyowatafuna.
Poleni sana ila mfuateni Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai na aliyeumba Mbingu na nchi atawasaidia.
 
Watu watalala macho wanasubiri kwenda kutoa damu zao ili wafanye hii kazi!
Watu wataota sugu miguu wakisigina na kuamini watafanikiwa.

Mganga ukienda kwake kwanza anafanya research kukutumia kwa kuulliza historia ya maisha yako na jirani zako. Maswali anayokuuliza mganga ndo tiba yake na ndiyo downfall yako. Kama umeoa/olewa sema bado. Kama unaumwa kichwa sema mguu. Kama wazazi wako hai sema mmoja kafariki na una mama wa kambo.
Hapo ndo utajua jinsi watu wanavyoliwa. Be blessed my brother!!! Watajiju.,
 
Shikamooo dada! Miss you so much! Hope it's all fine over there
 
Miss you too. Huku joto kidogo ila on Sat nasepa hivyo we may not talk for a while. Nitakupm kabla. Wajomba hawajambo mmoja anapresent paper yake ya masters on Sat. Tutakuwa kwenye p...a kelekea kwa S.S.CH.
 
Wanga wamegeuza JF kuwa kilinge cha kukutania na kujadili mambo yao.
Hatari sana hiiii
Ila hawataweza kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu muumba wa Mbingu na Nchi
 
Miss you too. Huku joto kidogo ila on Sat nasepa hivyo we may not talk for a while. Nitakupm kabla. Wajomba hawajambo mmoja anapresent paper yake ya masters on Sat. Tutakuwa kwenye p...a kelekea kwa S.S.CH.
Best of luck to the whole family I had insence lighted in my meditation n chanting session on that vessel! It was xtremely wonderful! Nikakukumbuka sana
 
Mshana Jr pale mitaa ya manzese darajani kuna duka la hizi zana kabisa, sijui nae analipa kodi!?
Nalifahamu sana liko kwenye uchochoro wa kutokea Kingstone au Sandtone bar(santon)
 
Nalifahamu sana liko kwenye uchochoro wa kutokea Kingstone au Sandtone bar(santon)
Enhee, nikipitaga pale naona kama uchawi kabisa umejaa mule, halafu inaonekana wateja wake wengi ni waswahili japo nadra sana kuona wateja wazi wazi
 
Utamtambuaje huyu ni mwanga ili upate huo mchanga wa nyayo zake labda nawe uwe mchawi.just thinking
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…