Mediaty
Member
- Aug 10, 2023
- 39
- 65
Katika zama hizi, wanaume wanapotia magumu sana. Wapo na insecure sana. Kuna matabaka kibao. Hawa wanaogopa kuoa, hawa wanawachukia wanawake, hawa wapo jela sababu ya wanawake wengine mpaka wanawaza watapata wapi wake bora. Majibu ya maswali haya ni magumu sana kuyapata. Ila utafiti unaonesha kuwa wanaume ndo Wana insecure sana kwenye mapenzi kuliko wanawake.
Ni kweli, unaweza kuwa miongoni mwao. Sasa usijali mwanaume mwenzangu, Leo nakuletea dawa au jibu la haya maswali yote. Jibu hili linaweza lisiwe rasmi kwa baadhi ya watu ila naamini wapo ambao watanielewa vyema.
ACHANA NA HISIA KABISAAAAA
Hisia ni nini
Hisia ni hali ya ndani inayotokea mtu anapoguswa na tukio, mawazo au mazingira, na huathiri jinsi anavyofikiri, kuona mambo na kutenda.Yani ni mwitikio wa kihisia kama furaha, huzuni, hasira, hofu, upendo au msisimko unaojitokeza pale kitu kinapogusa nafsi au akili yake
Mfano wa hisia mwanaume anapoachwa unaweza kuwa maumivu ya kukataliwa, ambapo anahisi kama thamani yake imeshuka; huzuni kwa sababu mtu aliyempenda hayupo tena, kichaa cha mawazo (overthinking) akijiuliza alikosea wapi, hamu ya kujitenga ili kuepuka aibu au maumivu zaidi, hasira kwa kuhisi ameumizwa au kutotendewa haki na wakati mwingine kujitilia shaka kuhusu uwezo wake wa kupenda au kupendwa tena.
Sasa mwanaume mwenzangu kama utaweza kufukuza hiki kitu hisia basi we Dunia umeishinda. Namanisha hisia zote, furaha kupitiliza, hasira, huzuni, kufall in love, kuwaza sana juu ya kitu, ukaacha mategemeo au matarajio ila ukaishi emotionless.
Ngoja nikwambie kitu, watu wote unaowaona wanakupenda sio kweli hii ni Sababu kuna kitu wanakipata au wanatarajia kukipata kutoka kwao. Siku wakiona haweawezi kufaidi chochote kutoka kwako basi umeisha. Hata wewe pia huyo dem unayempenda Kuna kitu unakifata kwake (unalijua mwenyewe) hata yeye.
Una kila sababu ya kuvunja mishipa yote ya hisia na kuishi kama emotionless man Kwa sababu:
1. Usipate msongo wa mawazo
Ukizifungia ndani, zinajijenga na kugeuka hasira, huzuni ya muda mrefu, depression au stress kali.
2. Kufanya maamuzi sahihi
Mwanaume ambaye hatambui hisia zake huwa ana-react bila kufikiria. Lakini anayezijua anajua lini aondoke, lini akae kimya, na lini apambane.
3. Kupata nguvu ya ndani (emotional intelligence)
Hii ndiyo tabia kubwa ya “high value man.” kujua mashambulizi ya kihisia yanapotokea na kudhibiti hali bila kupoteza heshima.
4. Kuwa na udhibiti
Kutengeneza mwili ni nguvu ya nje; lakini kudhibiti hisia ni nguvu ya ndani inayomfanya mwanaume awe mtulivu, jasiri na mwenye mwelekeo.
5. Mahusiano, kazi na maisha vinahitaji mwanaume mwenye akili za hisia.
Ukiwa na hisia inakuwa ngumu kuelewana, hasira za haraka, na unaharibu fursa za kazi, urafiki na mapenzi bila kujua.
Haijalishi huyo mwanamke unampenda vipi, lakini lazima ujue yeye sio bora kuliko wewe na maisha yako. Kwahiyo wewe kwanza yeye baadae. Kubali kuwa unaweza kumpoteza muda wowote kwa kufariki, usaliti au hata wewe kufa au kumuacha.
Usiwe emotional attachment na mwanamke yeyote. Ni kweli umeamua kumpa mapenzi yako ila usijimalize. Tambua sababu kubwa za wewe kuwa na yeye na usimfanye akaamini kwamba bila yeye wewe umeisha na usije kuwaza hivyo
Tambua mwanamke ni kama swimming pool - wewe si wa kwanza kuogolea pale na wewe sio wa mwisho kuogelea so calm down.
Simaninishi uache kumtreat vizuri mpenzi wako au dharau sababu hauko emotional attached na yeye bali namanisha timiza majukumu yako kama mwanaume kwake ila mwisho tambua wewe na yeye hamjaungana kihisia kiasi kwamba bila yeye huwezi ishi Kwa furaha.
Tafuta mambo yako ya kukupa furaha na usisahau hobbies zako ambazo zilikuwa zinakupa furaha wakati yeye hayupo.
Kupenda mwanamke bila kuwa na emotional attachment kunamaanisha umpende na umthamini, lakini usifanye maisha yako yote yamtegemee yeye; mfano, unaweza kuwa na mpenzi unayempenda sana, mnatoka pamoja na kushirikiana, lakini bado una malengo yako kama biashara, mazoezi, kazi na marafiki—ukiachwa au akibadilika, unahisi maumivu ya kawaida lakini hauporomoki, hupotezi mwelekeo, wala hujamfanya kuwa chanzo cha furaha yako pekee; hii ni tofauti na mwanaume anayempenda mwanamke kwa attachment kali kiasi kwamba akiondoka anashindwa kula, kulala, kufikiri na maisha yake yanavunjika, kwa sababu alikuwa amemweka kuwa sababu ya kuishi.
Mwisho kabisa, tambua kila mtu anaweza kuishi bila wewe na wewe unaweza ishi bila huyo mtu. Awe rafiki, mzazi, ndugu au jamaa. Kumbuka, Kuna mambo yapo ndani ya uwezo wako na mengine yapo nje. Wewe kumpenda na kumthamini ipo ndani mwako ila yeye kukifanyia hivyo ipo ndani yake.
REFERENCE
FIGHT CLUB (Novel by Chuck Palanihuck)
Kwa ambao wamesoma riwaya hii basi watelewa nachomanisha nikisema mwanaume unapaswa kuwa zero emotional attachment na mwanamke. Ntaelezea Kwa kutumia mifano kutoka kwenye novel hiyo huku nikieleza jinsi ya kuwa zero emotional attachment na mwanamke
1. Kuwa na utambulisho wako binafsi (Self-Identity)
Kama Tyler Durden, mwanaume anapaswa kuwa na maisha yenye misimamo na malengo yake. Kanuni: Usimfanye mwanamke awe chanzo cha kujitambua kwako.
2. Acha kuogopa kupoteza (Letting go of fear)
Tyler anasema, “It’s only after we’ve lost everything that we’re free to do anything.”
Hii inaonyesha kuwa mwanaume akiacha woga wa kuachwa, hatashikilia kupita kiasi.
Kanuni: Akiondoka, maisha yako yanaendelea.
3. Kuwa na maisha yaliyojengwa na wewe (Purpose over emotions)
Tyler, mhusika kwenye hii riwaya yeye anaishi kwa malengo, freedom, strength, discipline. Anafanya maamuzi kwa misimamo, si kwa hisia.
Kanuni: Usiwe mtu anayetelekezwa na hisia za mapenzi; kuwa na purpose ya kukusukuma kila siku.
4. Kuwa na “emotional detachment” ya kiafya (Control, not coldness)
Riwaya ya Fight Club inaonyesha uwezo wa mwanaume kukubali maumivu bila kuyumbishwa. Hii ni emotional detachment yenye udhibiti, si ukatili.
Kanuni: Pendana lakini usifanye mwanamke awe oxygen ya maisha yako.
5. Jenga ukamilifu wako kwanza (Self-sufficiency)
Tyler anatuundisha kuwa mtu anayejitosheleza—kimwili, kiakili na kimafanikio.
Kanuni: Uwe na maisha ambayo mwanamke anaingia kuongeza ladha, si kujaza pengo.
6. Kuwa na activities zinazokutengeneza (Discipline & routine)
Katika riwaya hii, mazoezi, vita, na routines za Tyler zinatujenga kuwa strong, focused, less emotional.
Kanuni: Mazoezi, kazi, hobi, na maendeleo binafsi ndiyo nguzo zako—siyo mapenzi.
7. Usijaribu kudhibiti mwanamke (Non-attachment mindset)
Tyler anafundisha kuwa “control is an illusion.” Ukimshikilia mtu sana, unakuwa mtumwa wa hisia zako.
Kanuni: Mpenzi yuko kwa hiari yake; usimlazimishe, usimfwatilie kupita kiasi.
8. Jua kwamba hisia ziko lakini hazikuongozi (Stoic masculinity)
Mwandishi anaonesha mwanaume anaweza kuhisi maumivu, hasira au upendo—lakini hajipeleki kwa hisia hizo.
Kanuni: Hisi, lakini uongoze.
9. Kuwa tayari kuondoka wakati heshima inapotea (Walk-away power)
Tyler ana nguvu ya kuachilia kitu kinachompunguzia thamani. Mwanaume akishindwa kuondoka, anakuwa trapped kwenye attachment.
Kanuni: Ukiona heshima imepungua, ondoka bila drama.
Ukisoma riwaya hii utagundua kuwa Tyler anampenda Marla, wanashirikiana na kushirikiana kihisia kwa kiwango cha kawaida, lakini mapenzi hayo hayamtegemezi, hayatamfanya ahisi dhaifu au kupoteza mwelekeo wake. Anaendelea kuwa na malengo yake binafsi, nguvu za ndani, na heshima kwa maisha yake, na hivyo mapenzi yanabaki kuwa sehemu ya maisha yake, sio msingi wake wote. Hii inamfanya Tyler awe huru kihisia, jasiri, na mtu aliyejijua mwenyewe, ikitofautiana na mwanaume ambaye hujipoteza pale mapenzi yanapobadilika.
Amandika Mediaty