Bless Hackerson Mg
Member
- Mar 3, 2013
- 30
- 4
Kama wewe ni mzazi mwenye Mwanafunzi wa O level (kidato cha i - iv), Au ni mwanafunzi wa O level (kidato cha i - iv) pata Bure nakala ya kitabu hiki kinachoelezea jinsi ya Kufanya Practicals za Biology kwa ngazi ya O level.
Nakala hii inapatikana hapa >> Vitabutanzania | eBooks
View attachment 151821
Pia Kuna vitabu Vingine Vingi Ambavyo vinapatikana katika tovuti yetu bila gharama yoyote.
Tembelea sasa www.vitabutanzania.com
Kama una maoni au Ushauri wowote Usisite Kutujulisha.
Bless Mgongolwa
vitabutanzania Programmer
info@vitabutanzania.com
0716949778
:: tupo nawe daima katika kukuelimisha ::
vitabu vipo vingi sana nazani baada ya sikukuu ya Pasaka tutavitoa vingine vingi
Zinafanya kazi ndugu yanguMkuu zijaribu kwanza hizo link ulizotoa mana me zinanigomea !
Zinafanya kazi ndugu yangu
ERROR
The server timed out
You tried to access the address
Vitabutanzania
book.php?bookid=vtsn004,
which is currently unavailable.
Please make sure that the web
address (URL) is correctly
spelled and punctuated, then try
reloading the page.
Request timed out while
loading "http://
vitabutanzania.com/book.php?
bookid=vtsn004"
kama ni mimi tu nnaepata hili tatizo basi sawa haina shida!