Mkojo mchafu

nok 008

Member
Feb 20, 2018
10
4
Mwanamke mjamzito anaweza anaweza kufanyaje kuondoa tatizo la mkojo mchafu ili kuzuia U T I nini cha kufanya
 
Hivi mkojo mchafu sio ndo yutiai ama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkojo mchafu km mnavyouita si lazima uwe na UTI
namna vyakura unavyokura vinywaji na kiasi cha maji ndo matokeo ya mkojo wenye Afya au dhaifu



Mwanamke mjamzito anaweza anaweza kufanyaje kuondoa tatizo la mkojo mchafu ili kuzuia U T I nini cha kufanya


Kuepuka kupata U T I kwa mama mjamzito ni kujitahidi kuwa msafi katika kujisafisha akimaliza kujisaidia na ajitahidi kuwa mkavu
akiwa home zaidi pichu aachne nayo ili kupunguza kiasi chaa joto kinachozalisha unyevu kipindi cha ujauzito mama mjamzito muda mwingi joto huwa juu hasa ukeni hvyo huwa na unyevu unyevu ambao husaidia bactria kusafili vizuri
Kwa kuwa kipindi cha ujauzito kinga ya mwili hupungua sana hvyo kuwa rahisi kushambuliwa na magonjwa ni vema akachukua tahadhari muda wote

harufu kari ya mkojo na au mkojo kuwa rangi ya njano sana na mawingu isikutishe ni kutokana na homoni mbalimbali kuzaliana kwa wingi
na pia ni aina vile vyakura anavyokura vyenye Acidi kwa wingi na kutopenda kunywa maji kwa wingi na kutapika pia
hupelekea kiwango cha PH kupungua
Zaidi ajitahidi kutumia chai ya tangawizi kila asubuhi ila asitumie tangawizi kari sana ni kiasi tu
 
Back
Top Bottom