Kuepuka kupata U T I kwa mama mjamzito ni kujitahidi kuwa msafi katika kujisafisha akimaliza kujisaidia na ajitahidi kuwa mkavu
akiwa home zaidi pichu aachne nayo ili kupunguza kiasi chaa joto kinachozalisha unyevu kipindi cha ujauzito mama mjamzito muda mwingi joto huwa juu hasa ukeni hvyo huwa na unyevu unyevu ambao husaidia bactria kusafili vizuri
Kwa kuwa kipindi cha ujauzito kinga ya mwili hupungua sana hvyo kuwa rahisi kushambuliwa na magonjwa ni vema akachukua tahadhari muda wote
harufu kari ya mkojo na au mkojo kuwa rangi ya njano sana na mawingu isikutishe ni kutokana na homoni mbalimbali kuzaliana kwa wingi
na pia ni aina vile vyakura anavyokura vyenye Acidi kwa wingi na kutopenda kunywa maji kwa wingi na kutapika pia
hupelekea kiwango cha PH kupungua
Zaidi ajitahidi kutumia chai ya tangawizi kila asubuhi ila asitumie tangawizi kari sana ni kiasi tu