Gilbert Julius
Senior Member
- Jan 28, 2014
- 102
- 72
tawa ni kawaida yao. shida huwa wanataka kuonyesha kwamba na wao walienda depo,kumbe ni raia wakakamavu tu. unampigaje mtu ambaye tayari umemuarest?Huko wilaya ya Mlele Mkoani Katavi askari wa TAWA wamedaiwa kumpiga mtu mmoja na kumsababishia umauti baada ya kumkuta porini.
Baada ya kumpiga vibaya wakampeleka kituo cha polisi cha Inyonga wilayani Mlele.
Walivyoona atawafia kituoni wakampeleka hospital kupoteza ushahidi. Yaani mtu amefia njiani kutoka polisi kwenda hospital.
Walipofika hospital wakasema wamemuokota porini.
Jinsi maiti inavyozidi kukaa inavimba upande mmoja wa tumbo. (Mateke).
Kwanini ni wakatili hivyo ? Au ndio sifa za jeshi usu ?Ni bora ukutwe kambi ya jeshi utapigishwa zoezi uende lakini sio kwa hao jamaa, ukitoka mzima katoe sadaka.
Mambo ya maliasili na nyara za serikali huenda wanachoshwa na matukio ya kujirudia rudia, na hivi wamejengwa kuwa aggressive haijalishi umepotea njia wakikukuta kwenye mamlaka zao wanakuachaje salama. Labda ukutwe na burungutu la dollar mfukoni wakunyang'anye wakutie makofi uende zako.Kwanini ni wakatili hivyo ? Au ndio sifa za jeshi usu ?
Sheria inasema jangili auwawe? Mahakama si zipo?Hapo sasa
Ova