B Biti Member Joined Jul 11, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Jul 12, 2012 #1 Majimbo ya Singida yana Wabunge machachari kweli, lakini mbona majimbo yao hakuna wanachofanya? Kama unaijua vizuri Singida, hebu mwaga data hapa.
Majimbo ya Singida yana Wabunge machachari kweli, lakini mbona majimbo yao hakuna wanachofanya? Kama unaijua vizuri Singida, hebu mwaga data hapa.