Mkoa Wa Ruvuma Jitahidini Walau Kwa hili

maendeleo yanaanza kwa mtu mmojammoja wewe umefanya juhudi gani za kuuendeleza mkoa wako? mfano kufungua radio station au kuboresha usafiri ili taarifa zije kwa wakati.pia hata kutoa elimu kwa raia kuhusiana na mbinu za kujikwamua kiuchumi? isitoshe ufunguaji wa project kubwa ambazo zinaweza kutoa ajira nyingi kwa vijana au ndo unataka serikali ifanye iyo shughuli mfano kufungua walau supermarket kubwa zinaweza kuchangia kuinua uchumi wa mkoa kama huzijui shughuli za msingi za serikali.wew kama mdau jaribu kuboresha huo mfumo wa habari.
 
mkuu tunalipa kodi kwa Serikali kila siku,.

Wameshindwa hata kuiboresha hiyo TBC Fm ipate kusikika kwa uhakika!!
 
wana slogan yao ''Radio Jogoo mshirika wa kuaminika Kwa Wana Ruvuma''

upuuzi mtupu hakuna la maana wanalozungumza.

unaonaje ukifungua kituo na wewe ambacho kitatoa habari za kina na kuaminika hivyo kutoa upinzani katika tasnia ya habari huko, kuliko kuiponda jogoo wakati kavla ya hapo huenda hata hicho unachokiona hakina mchango kilikuwa hakipatikani.tunapaswa kutengeneza usgindani cio kupondea humu jf.
 
mkuu hata kwa ushauri inatosha sana unaweza kuwa na pesa lakini hauna idea ya kufanya kitu,.

Idea kwanza hela siyo tatizo,.

Je wana Ruvuma wanalo wazo kama hili? Wanalichukuliaje? Hilo ndiyo Jambo la msingi!!
 
mawasiliano ni sekta muhimu ndio mana wameruhusu watu binafsi na mashirika kutoa hiyo huduma kwa iyo kama tbc inasusua angazia vyombo vingine kwani iyo tbc ci ndio watu wanaibeza kuwa inaitetea serikali? cha msingi ni kutambua serikali haishughuliki na sekta ya mawasiliano pekee kupitia kodi yenu kuna mambo nengi ya kufanya,ndio mana wanatoa vipaumbele kwenye baadhi ya sekta.
 
gazeti la siku hiyo unalisoma wewe unayepata access ya internet jaribu kuwafikiria wale wasiyokuwa nayo!

Morogoro wajanja pamoja na kuishabikia CCM wamejenga mkoa wao!!

kumbe ccm sio sababu, sikuona maana ya kuiweka ktk uzi wako,
 
mawasiliano ni sekta muhimu ndio mana wameruhusu watu binafsi na mashirika kutoa hiyo huduma kwa iyo kama tbc inasusua angazia vyombo vingine kwani iyo tbc ci ndio watu wanaibeza kuwa inaitetea serikali? cha msingi ni kutambua serikali haishughuliki na sekta ya mawasiliano pekee kupitia kodi yenu kuna mambo nengi ya kufanya,ndio mana wanatoa vipaumbele kwenye baadhi ya sekta.

mkuu una haki ya kupata taarifa, soma katiba vizuri!! Na hiyo ni moja ya matumizi ya kodi unayolipa serikalini!!
 
mkuu hata kwa ushauri inatosha sana unaweza kuwa na pesa lakini hauna idea ya kufanya kitu,.

Idea kwanza hela siyo tatizo,.

Je wana Ruvuma wanalo wazo kama hili? Wanalichukuliaje? Hilo ndiyo Jambo la msingi!!

inawezekana wenye idea hawana pesa na wenye pesa hawana idea kwa sababu ya ku focasi zaidi kwenye faida ya kuhihusisha kwenye iyo biashara kwani watu wa uko wengi hawapendi usgirikiano na kibaya hata kumsapoti mtu anayeinitiate kitu mfano hao jogoo baada ya kuwashauri namna ya kutoa huduma nzuri mnawaponda jf.
 
mkuu una haki ya kupata taarifa, soma katiba vizuri!! Na hiyo ni moja ya matumizi ya kodi unayolipa serikalini!!

ndio maana kwa kujipunguzia mzigo wa kujihusisha asilimia 100 kwenye kutoa taarifa.katiba iyoiyo inatoa haki kwa kila mtu kutafuta, kupokea na kutoa habari bila kujali mipaka yanchi.kwa iyo cio jukumu la serikali pekee kila mtu ndio maana vyombo vya habari vingi ni binafsi na vichache vinamilikiwa na umma, ucitegemee tbc tu tena maeneo mengine tbc yenyewe hata haipatikani
 
wana slogan yao ''Radio Jogoo mshirika wa kuaminika Kwa Wana Ruvuma''

upuuzi mtupu hakuna la maana wanalozungumza.

kuna wakati fulani nilikuwa nasikiliza Jogoo Fm, Daah asilimia kubwa wamecopy mambo ya Clouds na mbaya zaidi wanacopy ya kijinga mazuri wanayaacha.
 
mkuu hata kwa ushauri inatosha sana unaweza kuwa na pesa lakini hauna idea ya kufanya kitu,.

Idea kwanza hela siyo tatizo,.

Je wana Ruvuma wanalo wazo kama hili? Wanalichukuliaje? Hilo ndiyo Jambo la msingi!!

Nikiitazama Ruvuma nadhani ina tatizo la msingi na haya tunayoyaona sasa ni matokeo ya tatizo hilo. Ni kama watu waliotengwa na hata wao hawalioni hilo.
 
kumbe ccm sio sababu, sikuona maana ya kuiweka ktk uzi wako,

ccm sio sababu, hivi mustakabali wa taifa hili kwa ujumla ni jukumu la serikali inayoongozwa na chama kipi? hatukatai nafasi ya wananchi katika kuleta maendeleo ila pasipo serikali ya ccm kuonyesha njia maendeleo hayo hayatofikiwa.
 
wacha kupotosha ww mburula, me nimeishi Songea for more than ten years ni moja kati ya Mikoa michache ambayo radio Tanzania ilikuwa ikisikika vizuri kabla hata hiz FM redio zenu hazijaja. magazeti ni kweli huwa yanachelewa ila gazeti la leo linaingia jioni sana kwenye saa 11 au 12 jioni so unalisoma jioni hiyo hiyo au kesho yake asubuhi. Kuhusu Tv kuna cable Tv hapo town inarusha channel zote za kibongo unazozijua hadi nyingine za nje including channels za Dstv. Radio kuna mdau alisha kuambia hapo radio zinazosikika, sijui habari gani unazotaka ww watu wasikie zaidi, ni vema useme ukweli kuliko kukuza mambo nyau ww..!
 
Sasa kwanini wapo hivi walivyo?
 
pole sana mkuu, naona unatoa povu bure tu, hapa Songea radio Maria na Clouds Fm ndizo zinazosikika kwa uhakika, zilizobaki chenga tupu!! Sijazungumzia Tv maana tiyari zipo kwenye Decorder,. Tena years za kukaa songea hakuuna Jipya mkuu!!
 
Mkubwa asikudanganye mtu Watanzania wote ni mambulula.... Tukiitoa hyo mikoa mitano hakuna mkoa uliojengeka Tanzania!
 
Back
Top Bottom