Huu mkoa umekuwa na bahati mbaya sana kupata wakuu wa mikoa wasio wabunifu.
Kwa sasa kuna mkuu wa mkoa ambaye ukifuatilia tu historia yake unaona ni mtu aliyefaa kuwa meneja wa soko la samaki kirumba.
Hiki cheo alichonacho kwake ni lidude kuubwa mno.Hatoshi kwenye nafasi hiyo.Hana maadili ya uongozi kabisa.
Mwanza imewahi kupata mkuu wa mkoa mmoja aliitwa Daniel Ole Njolay.Huyu ni mkuu wa mkoa aliyekuwa mbunifu na mchapa kazi sana.Mwanza ilikuwa safi enzi zake na ilipendeza sana.
Najiuliza tu hivi huko ccm mmekosa kweli mtu mbunifu mchapa kazi kama Paul Makonda au watu kama Mtaka ili kumpa mkoa muhimu kama Mwanza?
Watu wa Mwanza tunahitaji mtuheshimu kidogo kwa kutuletea viongozi makini sio aina ya kiongozi aliyepo.