Mkoa wa Kigoma Kutokuwa na Umeme wa Uhakika

Mkwala

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
1,162
1,235
Tumekuwa tukiambiwa kuwa tunategemea kuwa nchi ya uchumi wa kati lakini kuna baadhi ya Mikoa kama Kigoma hakuna umeme wa uhakika (haipo kwenye Grid ya Taifa).Mpaka sasa mkoa unategemea majenereta kuzalisha umeme kwa matumizi ya nyumbani.Ni dhahiri kuna mikoa toka Uhuru ilikuwa inatengwaaaa na Kigoma ikiwemo.Kwa mtazamo huu nini kifanyike ili kuwe na fursa ya Kuwekeza katika Mkoa wa Kigoma.
 
Back
Top Bottom