GE2025 Mkoa wa Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

GE2025 Mkoa wa Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Arusha una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (7) ambayo ni
  1. Arusha Mjini
  2. Longido
  3. Karatu
  4. Ngorongoro
  5. Arumeru Mashariki
  6. Arumeru Magharibi
  7. Monduli
Washindi wa Ubunge kwenye mkoa wa Arusha ni:
Mkoa wa Arusha una jumla ya Majimbo ya uchaguzi saba ambayo ni

1. Monduli - Isack Joseph Copriao (CCM)
2. Karatu - Daniel Awack Tlemah (CCM)
3. Arusha Mjini - Paul Christian Makonda (CCM)
4. Ngorongoro - Yannick Ikayo Ndoinyo (CCM)
5. Longido - Dkt. Steven Lemomo Kiruswa (CCM)
6. Arumeru Magharibi - Dkt. Johannes Lembulung’ Lukumay (CCM)
7. Arumeru Mashariki - Joshua Nassari (CCM)

Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 Arusha: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Arusha Mjini ametangaza Paul Makonda kuwa mbunge mteule wa Jimbo la Arusha Mjini baada ya kupata kura laki tatu (300,000).

Tangazo hilo lilitolewa Oktoba 30, 2025 katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Arusha, ambapo Makonda, aliyegombea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), alitangazwa mshindi wa kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo.

 
Ametangazwa na nani Mkuu

Maana mimi najua alikuwa anagombea mwenyewe

Sema kajitangazaa
 
IMG-20251104-WA0054.jpg
 
Back
Top Bottom