Mkoa wa Arusha hali ni mbaya

Daaah Brother hata wewe tena?
I thought I could see a comment like this from praise team and 7000/= aspirants.. but not from you. To me ua among the members who gives us thoughtful and constructive ideas.. but this one mmmmmmmmm
IPO siku utaelewa kwanini watu wenye akili tumeamua kumkubali Magufuli..tunajua Sana nyie mpo nyuma Sana kwenye utambuzi
 
Uelewa wangu upon chini lakini wewe ni mjinga kabisa,uchumi wa taifa hili haujawahi kutegemea utalii. You are simply being selfish.
 
Mkuu pole kwa kuwalalamikia maCCM yaliyojipanga kivyao vyoa. Sera ya awamu hii ni kuwashusha walioendelea ili tufanane na tuliochelewa kuendelea.
 
Hizo bilioni anakuja nazo kwenye rambo? Au uko hamna bank akinunua au kuuza afanye transaction bank. Au labda bado wanafanya biashara ya kuuza tanzanite kama miaka ya 2000.
 
I never mention the president any where in my comment
IPO siku utaelewa kwanini watu wenye akili tumeamua kumkubali Magufuli..tunajua Sana nyie mpo nyuma Sana kwenye utambuzi
Sasa Mh Magufuli ametokea wapi hapo? Did I mentioned him any where in my comment to paschal Mayala? Au uliamua tu u mtaje hapo ili usikose tokea kwenye payroll ya wiki hii?
Jifunze Somalia hoja zako mwenyewe.. usimuingize Mh Raisi kwenye mambo hata hausiki
 
Upon
Hoja unayo ila umeiwasilisha kikudakuda sana,kwani sisi wa Tunduru hatuhitaji barabara nzuri,mbona Iringa wanatulisha,acha kujifanya wathamani kuliko sisi.
upo very irrelevant! Ukulishao hauharibiwi Bali hutunzwa! Huko tunduru mnachangia kiasi gani kwenye uchumi Wa nchi? Ongelea facts na acha siasa kwenye uchumi. Serikali isipende kukamua ng'ombe asiyo ilisha!
 
Selfish northern creature.
Upon

upo very irrelevant! Ukulishao hauharibiwi Bali hutunzwa! Huko tunduru mnachangia kiasi gani kwenye uchumi Wa nchi? Ongelea facts na acha siasa kwenye uchumi. Serikali isipende kukamua ng'ombe asiyo ilisha!
 
Hoja unayo ila umeiwasilisha kikudakuda sana,kwani sisi wa Tunduru hatuhitaji barabara nzuri,mbona Iringa wanatulisha,acha kujifanya wathamani kuliko sisi.
Na wewe fungua uzi wa kutaka na Tunduru iwe na barabara nzuri. Na pia ukipenda uelezee namna panavyochangia pato la taifa.
Hamna mtu aliyekukataza.
Jf ni ya watu wote.
 

Paskal, kweli bado unaamini kuwa mbunge ndiye mwenye uwezo wa kutatua changamoto zote jimboni - kwamba atatengeneza barabara, utatoa vitanda, atatoa madaftari kwa watoto nk?

Mbona hujauliza fungu kama la Mkuu wa Mkoa na Wilaya?
Mbona hujauliza TARURA/TANROAD ambao wana fedha za Road Fund?
Kweli leo tukikupa UBUNGE utamaliza matatizo ya jimbo lako?

Naendelea kutafakari kauli hii kiongozi.
 
P. Hii siyo style yako ya uandishi ninayoijua! Kama account yako imeingiliwa omba msaada kwani wanakuharibia kwa kujenga hoja kiitikadi! Au umaamua kukiwinda kiti cha ukuu Wa wilaya ya tunduru kwa uwazi hivi? Siyo fair lakini hats kama mwenyekiti Wa uvccm taiga alilisema kuwa hakuna maendekeo kwa maeneo yanayoongozwa na vyama mbadala! Kwani wasukuma MNA nini kichwani mwenu?
 
Wewe utakuwa huijui arusha vizuri umefika siku moja ukachukua batrabara za mtaa mmoja halafu unalinganisha jiji zima. Kwa kweli penye ukweli tuseme, jiji la arusha limejitahidi kuboresha miundombinu na linaendelea kuboresha sehemu chache zilizobaki
 
pascal ni team praise, kwa kuwa tu hapo ni mbunge wa upinzani ndio maana anasema hivyo. Nenda huko kwao usukumani kwenye wabunge wa ccm toka tanzania imezaliwa hadi leo uone miundombinu ilivyo
 
Ubaguzi ndo huo sasa tukiwaambia maana sisi tumelalamika na haki yetu kama Arusha ni jiji maana yake linajitegemea karibia 95% sasa tukiomba barabara ni haki yetu.

Arusha ndio mlango mkuu wa kupatia pesa za kigeni, ndio sehemu inayopata watalii wengi kuliko mikoa mingine, ndo sehemu pekee ambayo serikali inapokea mapato mengi sasa ni jukumj la serikali ikaboresha ili mapato yaongezeke. Utakuwa unakumbuka hadithi ya biblia iliyosema kwamba kuna mmoja alipewa talanta 5, mwingine 2, mwingine moja.

Sisi tuna talanta 5 hivyo ni haki yetu kuboreshewa maana tutatafuta nyingine tano ili tuwagawie wenye moja

Acha ubaguzi
 
Umeshindwa kuelewa hiyo barabara ni ya TARURA au TANROAD na mbunge hajengi barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…