jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,247
- 1,635
Unatafuta takwimu mkuu,jaza mafuta uzunguke tz nzima..
Miezi miwili unakua upo full data
Ili iweje kamanda?
Obviously ni Kilimanjaro
Lengo unataka tuitaje "Geita" ili utuingize kwenye matatizo bila shaka.
Wewe kwanza rekebisha title yako hapo juu.
Kimaendeleo ni neno moja, sasa wewe unaandika " kima endeleo" Seriously?
Mkuu.Wewe hilo tu ndo umeliona.... Una mtazamo hasi... Ungejibu kwanza content ndo unirekebishe
Mkuu.
Sio kila anayekurekebisha ana mtazamo hasi, sio kweli. Mimi sikuona chakuchangia nimeona hayo makosa basii!
Bure kabisa.
Ingia kwenye website ya Takwimu TaifaKatika mikoa yote ni mkoa gani tanzania uko nyuma kuliko mikoa yote kiuchumi
Vgezo
Idadi ya watu
Social services
Miundo mbinu
Vivutio vya kitalii
View attachment 1204961
Ko ese nzima hujaiona umeona kwene ako kakosa duuuhh!!
Nilchosema cha weza kua sahihi... Usikatae kifanyie kaz
Unatafuta takwimu mkuu,jaza mafuta uzunguke tz nzima..
Miezi miwili unakua upo full data