mko wapi? nimewamisi sana wewe je umemmis nani?

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Wasalamu
Nimewamisi sana vijana wa kazi ndani ya chitchat nao ni Mu-sir na Junior .Cux .Jamani nimewamiss sana,sana tena sana
Wakati mnaingi nadhani mlipiga hodi,wakati kwa nini kimya wakati wa wakuondoka?please ni hundu zenu hapa kutoka kwa Erickb52 njoon bas mzichukue
 
Last edited by a moderator:
Wasalamu
Nimewamisi sana vijana wa kazi ndani ya chitchat nao ni Mu-sir na Junior .Cux .Jamani nimewamiss sana,sana tena sana
Wakati mnaingi nadhani mlipiga hodi,wakati kwa nini kimya wakati wa wakuondoka?please ni hundu zenu hapa kutoka kwa
Erickb52 njoon bas mzichukue

Mimi mbona hata sijaondoka nipo humu humu tu. the homeground.
 
mimi nammiss AshaDii....napata mawazo sana....aliyemuona aniitie jamani....
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • IMG-20120525-01141.jpg
    IMG-20120525-01141.jpg
    547 KB · Views: 19
Last edited by a moderator:
Mimi nimewamiss wafuatao:
Hubby wangu wa Ukwenhe ruttashobolwa akiwa humu Chitchat,
Jukwaa la wakubwa, Kimbweka na Rungu,
Jukwaa la Stress anapatikana mtu mmoja tu mayome,
Wa ukwenhe mwingine Erickb52, wakati ndio sasa na bandidu mwenzie St. Paka Mweusi, Mdogo wangu beibe nasty na mmewe Judgement,
Wake wa Asprin, wanajijua maana sitaki ugomvi na bila kumsahau mdogo wangu mwingine Ipycalypse.

UJUMBE:
Save Water, Drink

Mwaka huu lazima kieleweke, tena msimamizi wakati ndio sasa,na hapohapo babu Asprin keshaniambia ngoma nitakayo kuicheza ni kubwa basi wacha nikaze buti kwa jinsi navyopenda ngoma kubwa we acha tu.......hivi leo chungu cha ngapi vile..??
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimewamiss wafuatao:
Hubby wangu wa Ukwenhe ruttashobolwa akiwa humu Chitchat,
Jukwaa la wakubwa, Kimbweka na Rungu,
Jukwaa la Stress anapatikana mtu mmoja tu mayome,
Wa ukwenhe mwingine Erickb52, wakati ndio sasa na bandidu mwenzie St. Paka Mweusi, Mdogo wangu beibe nasty na mmewe Judgement,
Wake wa Asprin, wanajijua maana sitaki ugomvi na bila kumsahau mdogo wangu mwingine Ipycalypse.

UJUMBE:
Save Water, Drink

Nipo hapa dada tumbo laniuma etiiii

ukweli memmis mjr,mbooty,kingmairo
 
Last edited by a moderator:
Klorokwini, magulumangu , Kokudo, El-Toro, Dreamliner.

Maria rosa, Rose1980, Wiselady, Dena Amsi, Ashadii
 
Klorokwini, magulumangu , Kokudo, El-Toro, Dreamliner.

Maria rosa, Rose1980, Wiselady, Dena Amsi, Ashadii

Hao uliowataja umenigusa aisee lakini kuna Kimey, RR, Bigirita, BE, Zion Daugher, Lily Flower nk nimewamiss aisee
 
Back
Top Bottom