Mko wapi mliosoma chanzige 1982 -1988...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mko wapi mliosoma chanzige 1982 -1988...?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Wilbert1974, May 2, 2012.

 1. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ziada, Sikudhani, Siwema, Mkejina, Siwatu, Semeni, Siasa, Kichipu... NA WENGINE?
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Dada yangu Binamu pia alisoma hapo.....................LOL
   
 3. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Walimu sasa wa hapo sijuiwi wako wapi jamani - kama Mwl Sijaona; Kidudu; Kesi; Gungulugwa; Kamna; Mwaipaja; etc? Najua wengine watakuwa RIP sasa!
   
 4. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2013
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mmmmh ina maana wa CHANZIGE hampo humu JF,
  Mbona najua hapo pametoa maGT wengi tu...
   
 5. S

  Sumu JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2013
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,233
  Likes Received: 3,220
  Trophy Points: 280
  Hayo majina mweeeeh! Inaonekana Mzungu alikuwa hajafika hayo maeneo.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 6. U

  Usiufukuze Upepo Member

  #6
  Jan 22, 2013
  Joined: Jan 4, 2013
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwana mtama, fikirini, mwakuvuna chipopo na Zingatia Sakavumbi walisoma huko kama wawafahamu vo!
   
Loading...