Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 705
- 1,143
No reforms No election, ni wito wa mabadiliko ya uchaguzi au campaign against personality? It looks tunaongelea vitu viwili tofauti?nenda wewe na mama yako mzazi mkampigie mchumia tumbo wenu.
Akili za ng'ombe ni za ng'ombe tu,hv mwaka jana nchi ilikuwa kwenye nn sio kwenye uchaguzi? nn kilitokea ww mwenye mtindio wa ubongo,naona kama vile umeweka kichwa pembeni umegeuza mnduku wako ndio unautumia kufikiri.Mm nakwambia NO REFORMS NO ELECTION ni muhimu hata kwako na kizazi chako ambacho naamini ipo siku kitakulaumu na kusikitika kwa ugonjwa ulioupata unaosababisha ww kunatumia mnduku kufikiri NO REFORMS NO ELECTION itakusaidia ili siku Moja Ukatibiwe India baada ya kuathirika na ugongwa unaoitwa CCM.Wenye Masters wanaambiwa hawajui kusoma kwenye uchaguzi ila wanaotumia minduku ndio wanajua kusoma ila CCM ni janga kamili kabisa kwa Taifa.Katika siasa, kaulimbiu na propaganda ndizo karata zinazounogesha mchezo wa uchaguzi. Kila mshindani wako anapochanga karata zake, timu yako lazime ichange karata zako. Hiki ndicho kilichotokea kuelekea October 2025.
Wakati CHADEMA wanaendelea na campaign ya No reform no election, katika hali ya kushangaza, CCM wamekuja na ilani ya uchaguzi inayoahidi katiba mpya kuwa kipaumbele chake. Kimsingi hili ni tamko thabiti kuwa, MKITAKA REFORMS, MKAPIGE KURA. Maana yake ni kuwa, kama mnayo nia thabiti ya kuleta mabadiliko ya katiba, basi chagueni CCM.
Kwa faida ya wasomaji, Misingi na Malengo Kuu ya Ilani 2025-2030 ni kama ifuatavyo:
1. Kuendeleza Uchumi wa Viwanda na Biashara Ndogo (TEHAMA)
Kuimarisha mazingira ya biashara na kukuza uwezo wa viwanda vya ndani, pamoja na kuwawezesha wafanyabiashara wa TEHAMA kupitia mikakati ya kifedha na kiutawala.
2. Uboreshaji wa Huduma za Kijamii Vijijini
Kupanua upatikanaji wa maji safi, huduma za afya, elimu bora, na nishati kwenye maeneo ya vijijini kwa kuzingatia ufanisi na uendelevu.
3. Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi.
Kupanda miti milioni 100 kila mwaka ili kudumisha misitu, kudumisha mazingira, na kuongeza mvua .
4. Kuimarisha Diplomasia ya Kiuchumi na Usalama wa Taifa
Kukuza ushirikiano wa kimataifa, kulinda rasilimali za taifa (gesi, madini, misitu), na kuimarisha usalama wa ndani na nje.
5. Katiba Mpya ya Muungano
Kwa mara ya kwanza, Ilani ya CCM imeipa kipaumbele kuongoza mchakato wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano ndani ya miaka mitano ijayo, ikilenga kujibu mahitaji ya kisasa kijamii, kiuchumi, na kisiasa
Tumeambiwa na wenye busara maridhawa kwamba, njia pekee ya Kulinda kura yako ni kubaki nayo. Ukiipeleka kwenye sanduku la kura imepotea!!!
Kwa usimamizi upiKatika siasa, kaulimbiu na propaganda ndizo karata zinazounogesha mchezo wa uchaguzi. Kila mshindani wako anapochanga karata zake, timu yako lazime ichange karata zako. Hiki ndicho kilichotokea kuelekea October 2025.
Wakati CHADEMA wanaendelea na campaign ya No reform no election, katika hali ya kushangaza, CCM wamekuja na ilani ya uchaguzi inayoahidi katiba mpya kuwa kipaumbele chake. Kimsingi hili ni tamko thabiti kuwa, MKITAKA REFORMS, MKAPIGE KURA. Maana yake ni kuwa, kama mnayo nia thabiti ya kuleta mabadiliko ya katiba, basi chagueni CCM.
Kwa faida ya wasomaji, Misingi na Malengo Kuu ya Ilani 2025-2030 ni kama ifuatavyo:
1. Kuendeleza Uchumi wa Viwanda na Biashara Ndogo (TEHAMA)
Kuimarisha mazingira ya biashara na kukuza uwezo wa viwanda vya ndani, pamoja na kuwawezesha wafanyabiashara wa TEHAMA kupitia mikakati ya kifedha na kiutawala.
2. Uboreshaji wa Huduma za Kijamii Vijijini
Kupanua upatikanaji wa maji safi, huduma za afya, elimu bora, na nishati kwenye maeneo ya vijijini kwa kuzingatia ufanisi na uendelevu.
3. Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi.
Kupanda miti milioni 100 kila mwaka ili kudumisha misitu, kudumisha mazingira, na kuongeza mvua .
4. Kuimarisha Diplomasia ya Kiuchumi na Usalama wa Taifa
Kukuza ushirikiano wa kimataifa, kulinda rasilimali za taifa (gesi, madini, misitu), na kuimarisha usalama wa ndani na nje.
5. Katiba Mpya ya Muungano
Kwa mara ya kwanza, Ilani ya CCM imeipa kipaumbele kuongoza mchakato wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano ndani ya miaka mitano ijayo, ikilenga kujibu mahitaji ya kisasa kijamii, kiuchumi, na kisiasa
Ahadi ya katiba mpya ndio imekukera hivi? Kwani kwenye No reforms No election unadai nini?Akili za ng'ombe ni za ng'ombe tu,hv mwaka jana nchi ilikuwa kwenye nn sio kwenye uchaguzi? nn kilitokea ww mwenye mtindio wa ubongo,naona kama vile umeweka kichwa pembeni umegeuza mnduku wako ndio unautumia kufikiri.Mm nakwambia NO REFORMS NO ELECTION ni muhimu hata kwako na kizazi chako ambacho naamini ipo siku kitakulaumu na kusikitika kwa ugonjwa ulioupata unaosababisha ww kunatumia mnduku kufikiri NO REFORMS NO ELECTION itakusaidia ili siku Moja Ukatibiwe India baada ya kuathirika na ugongwa unaoitwa CCM.Wenye Masters wanaambiwa hawajui kusoma kwenye uchaguzi ila wanaotumia minduku ndio wanajua kusoma ila CCM ni janga kamili kabisa kwa Taifa.
Huyu hafai kunasibishwa na CCM. Mm nakubaliana na ww, watu wenye mawazo kama hayo ni wajinga. CCM inaamini katika demokrasia ya ushindani ya vyama vingi vya siasa. Sasa kama kuna mroho wa madaraka anatoa matamko ambayo hayapo kwenye misaafu ya CCM huyo amepotoka.Kuna mjinga mmoja wa CCM miaka ya nyuma alishawahi kusema kama wewe ni mpinzani na unategemea hayo makaratasi ya kura yaweze kuleta mabadiliko katika nchi hii utasubiri sana hadi Yesu arudi.
Ni kweli jamaa alikuwa sahihi 100%
Njia pekee ni moja tu - No Redorms No Elecrion.
Kura yangu mimi peke yangu haitoshi, yako pia inahitajika ili tupate reforms kupata katiba mpya.nenda wewe na mama yako mzazi mkampigie mchumia tumbo wenu.
Huna sababu ya kuwatia hofu wananzengo. Mm ni mchangiaji huru wa mawazo kama wewe. Kwani ww katiba mpya huitaki?Kuweni waangalifu. Hii ni dormant ID. Ipo tangu 2011. Hii ni ID ya kazi. Wenye D mbili bila shaka mtakuwa mmenielewa. Kuweni waangalifu!
View attachment 3364754
Ndio maana CCM inataka kufanya mabadiliko ya katiba, kwasababu sio chama cha kinyonyaji.
Usije ukaniteka mkuu. Nalima zangu dengu na nyanya hapa Misungwi sina baya na mtu. Tuishie hapa mkuu 🙏🏿Huna sababu ya kuwatia hofu wananzengo. Mm ni mchangiaji huru wa mawazo kama wewe. Kwani ww katiba mpya huitaki?
Hayo manadiliko yafanyike kwanza ndo uchaguzi ufanyike, msitufanye watanzania wajinga sana. Reforms kwanza ndo tuende kwenye uchaguzi. Hatuwezi kwenda kwenye mechi ambayo watu wameshajitangazia ushidi kwa sababu marefa na washika vibendera wote ni watu wao.Katika siasa, kaulimbiu na propaganda ndizo karata zinazounogesha mchezo wa uchaguzi. Kila mshindani wako anapochanga karata zake, timu yako lazime ichange karata zako. Hiki ndicho kilichotokea kuelekea October 2025.