Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
CCM ndiyo wenye Serikali na ndiyo wenye Wabunge wengi zaidi Bungeni hivyo wao ndio waamuaji wa jinsi ya kuongoza Serikali, na hili la Bunge kuonyeshwa live pia linaangukia hapo, wao CCM hawaoni umuhimu wa kulionyesha moja kwa moja na wameamua kutokufanya hivyo na wana haki ya kufanya hivyo maadamu hawajavunja sheria yoyote ile ya nchi na ndiyo maana ya kushinda Uchaguzi!
Sasa ninyi mnaolia lia hapa na kulalamika shindeni Uchaguzi kwanza na ninyi muweze kuyafanya mnayoyataka, vinginevyo mnapoteza muda tu kwa maana Serikali inayoongozwa na CCM pmj na Bunge hawajavunja sheria yoyote ile ya nchi!