Mkisikia; Mkazi mmoja mkoani Mwanza amjeruhi vibaya mpenzi wake kwa kisu kisa wivu wa mapenzi mjue ni mimi!

Pole kwa kuumizwa mimi imenitokea juzijuzi tu hapa, mpenzi wangu ameenda mkoa x kwa ma mdogo wake, tena alikuwa na ujauzito kamiza wa miez kama mitano hivi,

Aisee amefika huko mara nikaanza kuhisi mabadikiko makubwa ukimpigia simu mara akwambie yuko bize sijui mara makorokoro gani

Kumbe alifika kule mama ake Mdogo kamuungananishia kwa jamaa fulan sijui wanafahamiana na huyo mama! Basi buana wakapanga mbinu wanidanganye kuwa mimba ile imepata hitilafu imeporomoka lakni kilichinistua n kwamba siku mimba inatoka sikuambiwa eti nakuja kuambiwa baada ya siku tatu!

Aiseee ikabidi nianze kutumia mbinu za kipelelezi nikafanikiwa kupata data kutoka kwa rafiki wa mpenz wangu (alifika kule akaanza kutumia simu ya huyo kuwasiliana na Mimi maana yeye alifika akaibiwa simu)

Nikapata data had no za huyo mwanaume aliemuweka ndani/ kumuoa mpenz wangu. Aiseee tuliongea akaanza kusema eti " huyu mwanamke mm amekuja huku akawa anadai ametelekezwa na mpenz wake kwahyo mm nikjajitoa mhanga kumsaidia na mama yake ananijua kuwa mm ndo mume wake" aliongea upuuz mwingi tu! Akasema na hiyo mimba ni kweli imetoka kwahyo wewe huku huna chako na huyu kuanzia Leo faham n mke wa mtu na akaongea upumbavu mwingi tu!

Hiyo ilikuwa tar 6/1 mwaka huu tu! Acheni mapenzi na kupoteza mtoto inauma asikwambie mtu,

Basi nikamdadisi sana yule mpelelezi wangu akasema wamesuka njama tu hiyo mimba haijatoka bado anayo tena n mimba kubwa tu wanataka wakudhurumu tu damu yako,

Kiukweli nilikosa jibu kwann huyu mpenz ameamua kunifanyia hivi nini amekosa kwangu au shda n kumkubalia kwenda kwa mama yake? Kiukweli kuna wanawake mashetani sana dunia hii,

Na Mimi nimeshasema hivi wao wajidanganye tu ila mtoto atakayezaliwa lazima anitafute. Nimefanyiwa kitu kibaya sana bila kosa lolote kiukweli ndo maana watu wanaua wapenzi wao kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mica,
Ila una uhakika ujauzito alioubeba 'mpenzi wako' ni kweli wewe ulikuwa muhusika?
Vipi kama hiyo mimba ni ya huyo jamaa anayeishi nae sasa?

Okay nisikuongezee stress, ila jaribu kuwaza positive na negative pia kwamba "yawezekana ujauzito ni wewe muhusika au sio wewe muhusika".
 
Pole sana Mica,
Ila una uhakika ujauzito alioubeba 'mpenzi wako' ni kweli wewe ulikuwa muhusika?
Vipi kama hiyo mimba ni ya huyo jamaa anayeishi nae sasa?

Okay nisikuongezee stress, ila jaribu kuwaza positive na negative pia kwamba "yawezekana ujauzito ni wewe muhusika au sio wewe muhusika".
Thanks mkuu, yeye aliniaminisha kuwa ujauzito ni wangu na hata ukifanya hesabu miezi inaleta jibu kabisa kuwa mimba ilikuwa ni yangu! Maana hata huo mkoa hakuwahi kwenda hapo kabla na Mimi nilikuwa nae almost anytime kipindi hajasafiri kwenda huko , na aliondoka mimba n kubwa tu inaonekana vizuri tu.

Ila Mimi nitazid kumfatilia kiukaribu had mtoto/ watoto watakaozaliwa na damu ya mtu huwa haipotei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga nikua nao wengi alafu unampenda mmoja wale wengine hata hawakusaidii kitu zaidi yakukuongezea majukumu
Bora majukumu yenye amani kuliko mmoja wa kupeana stress tupu,
Tatizo lenu wanawake mkishajua mnapendwa ni kumuona anayekupenda Kama fala flani pamoja si wote Ila wengi wenu mpo hivyo!
 
Thanks mkuu, yeye aliniaminisha kuwa ujauzito ni wangu na hata ukifanya hesabu miezi inaleta jibu kabisa kuwa mimba ilikuwa ni yangu! Maana hata huo mkoa hakuwahi kwenda hapo kabla na Mimi nilikuwa nae almost anytime kipindi hajasafiri kwenda huko , na aliondoka mimba n kubwa tu inaonekana vizuri tu.

Ila Mimi nitazid kumfatilia kiukaribu had mtoto/ watoto watakaozaliwa na damu ya mtu huwa haipotei.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha kwamba ulikuwa unashinda nae au popote anapoenda unaenda nae?

Huo mkoa hajawahi kwenda kabla, lakini je hakuwa na mawasiliano yoyote na huyo "jamaa"? Una uhakika huyo 'jamaa' alikuwa haji kwenye mkoa uliopo na wanakutana kwa siri jioni anarudi nyumbani?

Unadhani mpaka anakubali kwenda kuwekwa ndani ni ghafla ghafla tuu, na hawa kuwa na ukaribu wowote kabla?

Mica, mtoto anaweza kuwa wako. Ila pia wacha na njia nyingine like kwanini huyo mwanaume ampokee mke wako na akiwa na ujauzito. Lazima kuna kitu kimejificha.
 
Uliwazalo linaweza kuwa kweli, tulia Kwanza kunywa maji mengi hasira zishuke,
Dawa ya mapenzi ya sasa ni kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja akizengua unaenda upande wa pili kujiliwaza,
Ukiwa na mke kuwa pia na nyumba ndogo kupunguza stress.
Kwa sasa usijidanganye kuna mwanamke wa peke yako utakufa siku si zako.

Hio ndio mbaya zaidi cku wakikugeuka wote itaenda ukiongea mwenyewe iliwai nitokea maana nilijigamba nimewapanga kama Messi ila kilichokuta..............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom