Weka hapa hilo song tulithaminisheAisee wadau hii ngoma imetulia sana, japo jamaa watu hawamchukulii serious kwenye muziki lakini nasema this time mshkaji amefanya poa. Hongera kwake, mwenye nayo naomba aiweke please wadau waisikie me nimejaribu nimeshindwa
tatizo jamaa bado anaushamba.fulani wakujisifia.sura.mtoto wakiume zama.zimebadilika af style yake moja tu habadilikiAisee wadau hii ngoma imetulia sana, japo jamaa watu hawamchukulii serious kwenye muziki lakini nasema this time mshkaji amefanya poa. Hongera kwake, mwenye nayo naomba aiweke please wadau waisikie me nimejaribu nimeshindwa
Kweli bwana huyu jamaa m n shabiki wake ila ujinga huo na ushamba wa kujisifia kama mtoto wa kike ndio anaboa.. ila anaimba vzrtatizo jamaa bado anaushamba.fulani wakujisifia.sura.mtoto wakiume zama.zimebadilika af style yake moja tu habadiliki
Wewe ni hamorapa unajipigia promo tu.wewe ndo hemed mwenyewe...unajipiga promo, ila umekuja wakati hamorapa yupo moto..pole
Wewe ni hamorapa unajipigia promo tu.
We enjoy mziki mzuri tu hayo mengine muachie mwenyewe. Elton John alikuwa shoga kabisa lakini "sacrifice" ilibamba dunia nzimatatizo jamaa bado anaushamba.fulani wakujisifia.sura.mtoto wakiume zama.zimebadilika af style yake moja tu habadiliki
Ohooooooo!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyu jamaa ndo aliesema live on tv kuwa anaoga mara moja kwa wiki 3[emoji4]
Alivo msupu huezi kudhani
kibongo bong hatuna habar nae unataka na sis tuendekeze ujinga show zake.mamen hawaendi ndo mana.anafeli kikubwa.abadilike matamko yake na style.ya mzikiWe enjoy mziki mzuri tu hayo mengine muachie mwenyewe. Elton John alikuwa shoga kabisa lakini "sacrifice" ilibamba dunia nzima
Wewe ndio unasema hivyo.Hemed huyu ambae ni wanasema ni Mtoto?
mzee wa harvard university!hatuna time nae.
[HASHTAG]#kiboko[/HASHTAG] ya mabishoo ndo habari ya town.
Vipi Salama lakini ndugu?mzee wa harvard university!
Jf kuna vituko
salama mkuu! hawajambo huko ughaibuniVipi Salama lakini ndugu?