Mkilala usiku huwa mnasali?

Mkilala usiku huwa mnasali?

Youbettersleep

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2019
Posts
944
Reaction score
1,628
Hivi utaratibu wa kulala usiku umebadilika au ni kama miaka ya 1990-2009 maana siku hizi wadau wanazima moto tu shwaaah tukutane kwenye kahawa kumsema SAMIA.

hebu niambie huwa unasali???
 
Kusali kabla ya kufanya jambo lolote ni muhimu sana mkuu
Kwa hiyo kabla ya kupiga mbonji ni muhimu kujikabidhi kwa Bwana ili awatume malaika zake kukupa ulinzi lkn pia kufanya toba kwa yale yote uliyoyafanya ktk siku nzima maana huenda ulitenda isivyopasa ili hata kama ukiwa ni usingizi wako wa moja kwa moja mpk ile parapanda basi ulale ukiwa upande wa Bwana

Baada ya kusema haya ngoja nisali kbs nilale
 
Amen amen acha nisali nipumzishe fuvu langu
 
Unasali kabla ya kulala kesho unaenda kuharibu vibinti vya watu au kugonga Malaya.

Unasali kabla ya kulala kesho unasengenya watu

Unasali kabla ya kulala kesho unaingia kazini unadhulumu haki za watu Kwa kula rushwa na ufisafi

Unasali kabla ya kulala kesho yake unaingia bar unakunywa pombe

Unasali kabla ya kulala na Bado unakuwa mfuasi wa CCM unayechukizwa na watu wanaolalamikia matendo maovu yanayofanywa na vyombo vya usalama kuteka na kuua wasio na hatia

Sasa unasali Ili iweje?
 
Huu utakua ni Unafiki 😁
 
Back
Top Bottom