Mkijaza wafanyabiashara safu ya CCM mmeua chama

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Kama kuna mistake iliwahikufanyika n kuweka wafanyabiashara kwenye chama na wengine hata kuanza kutupelekea pembe za ndovu huko China.

Nawaasa aibu hii ilikaliwakimyaa lakini mkijaza wafanyabiashara tripu hii kwenye chama kitaaibika kweupee.

Napenda kuona ushindani 2020 na sio kujua watu fulani wanashinda kuwepo na mikakati thubuti.

MH RAIS TUNAKUTAKIA SAFU NJEMA NAAMINI AWATAKUANGUSHA ILA ONE MISTAKE ITAWAGHARIMU 2020.
 
Back
Top Bottom