Mkija kuomba kura mje na nakala ya Matusi na orodha ya vijana wasio waaminifu

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Nimemsikia Makamu wa Rais alidai vijana wengi wa Tanzania sio waaminifu haya Mimi nakubali kabisa sio waaminifu.

Pili nimemsikia Mh Rais anadai yakuwa vijana wengi wasio na ajira wanahamia Twitter Republic na kuitusi serikali, sasa sijui hizo fedha za kununua vifurushi wanazopata wapi ilihali hawana ajira.

Maoni yangu binafisi kwa Rais, Sisi vijana wasio waaminifu na wale wa Twitter Republic tunaomba mkija kuomba kula mje na nyaraka za kuonesha nani anaewatukana na pili ni akina nani walichukua 1.8 Bilioni na hawalipi hizo fedha?

Tambua nje ya hilo, kura zetu mtazisikia rediooooni, hasa redio BBC.
 
Pili nimemsikia MH Rais anadai yakuwa vijana wengi wasio na ajira wanaamia Tweeter Republic na kuitusi serikali sasa sijui hizo fedha za kununua vifurushi wanazopata wapi ilihali hawana ajira.

Maoni yangu binafis Kwa kuwa MH Rais, Sisi vijana wasio waaminifu na wale wa tweeter Republic tunaomba mkija kuomba Kula mje na nyaraka za kuonesha Nani anae watukana na pili ni akina Nani walichukua 1.8 Bilioni na hawalipi hizo fedha?
Tambua nje ya ILO Kula zetu mtazisikia rediooooni.hasa redio BBC.
Hawajali kula yako,utajua mwenyewe utakavyo kula.
 
Nimemsikia Makamu wa Rais alidai vijana wengi wa Tanzania sio waaminifu haya Mimi nakubali kabisa sio waaminifu.

Pili nimemsikia Mh Rais anadai yakuwa vijana wengi wasio na ajira wanahamia Twitter Republic na kuitusi serikali, sasa sijui hizo fedha za kununua vifurushi wanazopata wapi ilihali hawana ajira.

Maoni yangu binafisi kwa Rais, Sisi vijana wasio waaminifu na wale wa Twitter Republic tunaomba mkija kuomba kula mje na nyaraka za kuonesha nani anaewatukana na pili ni akina nani walichukua 1.8 Bilioni na hawalipi hizo fedha?

Tambua nje ya hilo, kura zetu mtazisikia rediooooni, hasa redio BBC.
Ni kura zinashinda au NEC inateua mshindi?
 
Ingawa kura haina maana kweny chaguzi, ila hawa watu linapokuja suala la kuomba wanavituko 🤣🤣🤣wa kupiga sarakas haya, wakupiga mahoti hayaa, wakupika chakula kwa mama ntilie hayaa, yaan hiyo yote ni kuwazuga wasiojielewa ili wapate kuchaguliaa!!
 
Back
Top Bottom