Habari wanajamii, hope mko bien wote. Jaman me nnatatizo linanikwaza sana. Hapa ofisin natumika na mkaka mmoja . Sina mahusiano nae zaidi ya kikaz na wala hajawahi kunitongoza. Ila ananisifia sana kikazi, na shughuli zangu za ujasiliamali kwa watu mbalimbali ambao wamemwambia mkewe. Me pia nilimshauri hadi kafikia kuanzisha miradi kwa msaada wa some ideas toka kwangu. Tatizo linakuja mke wake hana amani kabisa juu yangu . Nimejaribu kumwambia ukweli hataki kuelewa. Naombeni ushauri nifanyeje kurudisha amani.
Ankal what it do kuna mtu huku bana he's taking life too seriouslyred: haujawahi kutongozwa
blue: umetongozwa (usibishe pliz)
mpelekeni egypt.Ankal what it do kuna mtu huku bana he's taking life too seriously
Ha ha ha lol wazo zuri sana ila nimemgonga kwa kutumia signature yako naona ametuliampelekeni egypt.
Jarib kupunguza ukarib na mume wa mwenzio..jiweke kwenye nafac yake natumai ucngejickia vizur mpe heshma yake km mke wa boss wako.wanawake tupendane bwana ucmpe mwenzio presha ambazo zinaepukika...
Tena umeshampa mara nyingi tu, KATAAA,,.red: haujawahi kutongozwa
blue: umetongozwa (usibishe pliz)