Mkesha Mkubwa Mwaka huu vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkesha Mkubwa Mwaka huu vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpinga shetani, Nov 15, 2011.

 1. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kila mwaka huwa kuna Mkesha mkubwa wa Maombi kuukaribisha Mwaka mpya pale uwanja wa Uhuru Dar.
  Kwa wanaojua watuhabarishe mipango ya mwaka huu maana kuna tetesi kuwa unaweza kufanyika kwenye mkesha wa siku ya Uhuru badala ya tarehe 31 december kama ilivyo kawaida. Hii ni kweli au?
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  mPM Rev Fr Masanilo anaweza akawa anajua vizuri!
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkesho wa nini sisi ambao hatupo bongo tunanapitwa sana
   
 4. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  na al shabab je? au wataruhusu maana walipo zuia ilikuwa ni sababu kwa maslahi yao
   
Loading...