Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
labda atampikia nzuri mchepuko wakeNa mkeo akiwa mchepuko wa mwenzio je?


Anakuwa room mate 😳Kuna mtu mtakuwa mnaonana naye asubuhi unavyorudi kuoga tu.
Hapai kiumbe hapa! Ni mwendo WA kutembea ardhini kwa madaha huku unakula miwa. Hahahahaaa!mshindwe!tena shetani apaeee
Hapai kiumbe hapa! Ni mwendo WA kutembea ardhini kwa madaha huku unakula miwa. Hahahahaaa!
Ni jokes tu. Hatuko hivyo. Wanaume tuna huruma sana. Niamini mimi.hhaha mnatuonea sana na kutudhalilisha sana !lol
Hii tabia ya mwanamke kuwa na mwanaume mwingine katiba haijaruhusu, ipo kimya sana. Sasa, try it at your own risk!Na mkeo akiwa mchepuko wa mwenzio je?
Ni jokes tu. Hatuko hivyo. Wanaume tuna huruma sana. Niamini mimi.
Popote aonekanapo mwanaume mtesi wa mwanamke akemewe hadi akonde!hahhahaa sio wote lakini
Popote aonekanapo mwanaume mtesi wa mwanamke akemewe hadi akonde!
Swadakta a!Hilo neno nafikiri ni sahihi. Halafu, hivi mwanaume anaanzishaje gubu eti kisa bibie kaunguza chakula?Halafu mara moja tu kwa bahati mbaya. Hii ni tabia mbaya, uchoyo, umimi, uchawi, kutetemekea misosi na upuuzi. Ndiyo hao hawakosi kwenye kila hitma/arobaini zitokeazo mitaani kwa uroho. Hafuatishi sala/dua muda wote kaweka mikono mfuko WA suruali anahesabu pilipili alizoenda nazo kwenye shughuli.achambwe had afe
Swadakta a!Hilo neno nafikiri ni sahihi. Halafu, hivi mwanaume anaanzishaje gubu eti kisa bibie kaunguza chakula?Halafu mara moja tu kwa bahati mbaya. Hii ni tabia mbaya, uchoyo, umimi, uchawi, kutetemekea misosi na upuuzi. Ndiyo hao hawakosi kwenye kila hitma/arobaini zitokeazo mitaani kwa uroho. Hafuatishi sala/dua muda wote kaweka mikono mfuko WA suruali anahesabu pilipili alizoenda nazo kwenye shughuli.