Mkeo vs Mchepuko!

Mkeo vs Mchepuko!

MKE AKIANZA MAMBO YA SACOSS NA UJASILIAMALI HATAKI TENA AKILI NI SACCOSS.MCHEPUKO MUDA WOTE YUPO TAYARI
 
Swadakta a!Hilo neno nafikiri ni sahihi. Halafu, hivi mwanaume anaanzishaje gubu eti kisa bibie kaunguza chakula?Halafu mara moja tu kwa bahati mbaya. Hii ni tabia mbaya, uchoyo, umimi, uchawi, kutetemekea misosi na upuuzi. Ndiyo hao hawakosi kwenye kila hitma/arobaini zitokeazo mitaani kwa uroho. Hafuatishi sala/dua muda wote kaweka mikono mfuko WA suruali anahesabu pilipili alizoenda nazo kwenye shughuli.
 
Mwanamke ukijitambua na kuchukua nafasi yako unakua zaidi ya mchepuko nikukubali kujifunza na kubadikika kusoma upepo wa mumeo upoje uende nao sambamba zama za sasa sio miaka hio asaivi wanawake tumeamua kutuliza ndoa zetu tofaut na na mwanzo hata mume akichepuka anachepuka waziwazi nawe unaona but now anajifikiria kuchepuka
 
Midume mingine hua haiwashirikishi wake zao na haiko tayari kuwafundisha unataka chapat mwambie mkeo ajitahidi sio kwakua hajui kupika basi ndo unaenda huko kupikiwa unafikiri mchepuko nae alianza anajua?
 
Back
Top Bottom